Nimechaguliwa UDOM lakini mpaka sasa sijatumiwa code

Nimechaguliwa UDOM lakini mpaka sasa sijatumiwa code

Bittah

Senior Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
135
Reaction score
37
Kuna ndugu yangu kachaguliwa UDOM yupo kwenye multiple mpaka sasa hajatumiwa code sijui tunafanyaje msaada wa ushauri ndungu
 
mkuu hata ukisema ni wewe mwenyewe hautapata ban. by the way karibu sana udom
 
Mkuu nisaidie namba za udom
Screenshot_2018-10-17-08-38-36.png
 
Kama mpaka sasa hujapata basi wewe nenda karipoti chuoni mkifungua chuo, mengine yatajulikana hukohuko
 
Back
Top Bottom