Efrem de fikirizzle
Member
- Oct 10, 2017
- 33
- 5
as me boyJaman naomba tuzidi kuomaba,
Mungu ameanza kionyesha mwanga...bahati nzur kat ya vyuo vilivyo anza kutoa majina...second...nimechaguliwa ...RUCU[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kwa nin serikali isicheze m bet,waweke man u,man city,Madrid,Bayern,barc win halafu waweke billion 6 uone kama pesa ya mikopo haipatikan,,tatzo loan bord sio wabunifu ,,,n wazoo tuomba furaha yako isije yeyushwa na bodi ya mikopo!