NIMECHAGULIWA SECOND ROUND:

NIMECHAGULIWA SECOND ROUND:

Ni kweli una furaha ila Tulia basi kwanza uhakikishe ulichokiandika mkuu, Hongera kwa kuchaguliwa.
 
Embu nielekezeni jinsi ya kuangalia account binafsi ya mwanafunzi kapangiwa wapi
 
omba furaha yako isije yeyushwa na bodi ya mikopo!
Kwa nin serikali isicheze m bet,waweke man u,man city,Madrid,Bayern,barc win halafu waweke billion 6 uone kama pesa ya mikopo haipatikan,,tatzo loan bord sio wabunifu ,,,n wazoo tu
 
Back
Top Bottom