Nimechaguliwa kusoma Clinical Medicine, nijiandae vipi wakuu?

Ndio, humu kwenye internet kumejaa information nyingi kuongeza knowledge mbali na chuo ni wewe tu,tafuta tovuti ambazo ni za kidaktari ambazo ni za uhakika..umejiridhisha kuwa ziko credible then uwe unajisomea,cha muhimu kuelewa mkuu na sio ku kremu,kila la kheri..
Asante sana dadaangu,kama hutojali unaweza kunielekeza tovuti ambazo za uhakika kupata knowledge kuhusiana na kozi yangu hiyo?
Na je kuna vitabu vyovyote vya kusoma labda kwa wakati huu ambavyo vinaweza kunilainisha kuelewa masomo vzuri ?
Kuhus kujisomea hilo halinashida kabisa majitaidi kwa kadri ya hali yangu
 
Wakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea.

Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika sehemu mbalimbali hasa mahotelini kwa muda usiopungua mwaka.

Mwanaka jana nikasema naenda kutimiza ndoto yangu nikahonga honga nikapata chuo private,nimecjaguliwa kusoma clinical medicine ambayo nimefuatilia nimeambiwa nikikomaa na GPA ya 3.5 naweza kusoma MD moja kwa moja.

Sasa je wakuu nijiandae vipi ili nifaulu ?
Maana natishwa naambiwa ni kozi nguvu hasa kwa mm niloishia form four bora ingekuwa japo form six,ikoje hii wakubwa ?

Nijiandae vipi ili kozi isiwe mogumu kwangu mwadau wangu ?
Ulimhonga nani?
 
Wewe Jamaa Mimi Sijasoma Course Yako Ya CO ila Nimesoma Nursing&Midwifery.

Naomba Nikuambie Kitu au Nikushauri.

Kwenye Hizi Course za AFYA kuna Kitu kinaitwa NTA 4, 5, 6 Means Mwaka 1, 2, 3

Kuna Module Hili ni Somo...Kuna session Hizi ni Topics zinakuwaga Fupi Fupi

Kuna Kitu kinautwa Semester(Muhula) Hadu mwaka wa 3 kuna jumla ya semester 6..

Kila Semester ina Module zake na Ukimaliza na Ukifikia Average ya chuo au Ya Nacte 50 unakuwa umwpita Hiyo semester na Hautasoma tena Hizo module unaingia Semester Nyingine..

Kwa Rev Curriculum sasa mwaka Wa kwanza na Pili GPA Kubwa ni 4 na mwaka wa 3 GPA ni 5.

Japo Jingine Mitihani ya mwisho wa kila mwaka Inasimamiwa na Wizara NACTE na inaenda kusahihishwa Nje.ila ya semester ya kwanza inasahihishwa chuo.

Viti Vya kukupumbusha.

1..HUKU unaweza kusoma Sana na mwingine Akasoma wiki kabla ya mtihani Akafaulu Hivyo usidhani ukiwa John kisomo ndo utakuwa na Ma GPA

2..Wanafunzi wengi wa Course za Afya wanakaza sana Msuli wiki moja au mbil kabla ya mtihani nje na Hapo ila misuli ya advance kiukweli wewe jamaa huku Haipo kabisa.

3..Pia kina Notice za Wizara mara nyingi Hizi ndo Tunakomaa nazo kusoma nje na hizo ni kuongeza uelewa ila sio kufaulu.

4.Clinical Area (Hospital)ni sehemu ya kujifunza kwa vitendo na kuna mitihani itabidi ufanye kadri ya miaka inavyooenda na Unajua Procedure japo Nyie Ma Co mnafanyaga Mitihani mingi tofauti na sisi Manesi.

5.Jambo la kukumbusha Punguza kuwa na Kiwewe relax mkuu...shule ya Huku haiyaki mbwebwe na Kusoma Sio kuwa Daktari kuna Process nyinginne Ndefu tu ya kuja kuwa Daktari MD nahisi ma CO wanaelewa Nje na GPA uliyonayo...
 
Kusoma nje ya box ni muhimu ila baada ya kuhakikisha yaliyopo kwenye module unaelewa vizuri yote tena mstari kwa mstari nacte wanataka uelewe na ukariri walichoandika kwenye guide yao hivyo itabidi muda mwingi uwe busy sana kusoma ndo utatoboa,kusoma mpaka nje ya box kunakuongezea uelewa na notes za guide ya nacte zinakuwa rahisi tu
Kaka umenipa jambo kwamba first year nikomae hasa nisipuuze kabisa,nfatanya hivyo nitahakikisha napambana naelewa vitu nilivyofundishwa.
Na kahusu wodini haina shida ntakubali hata kufanya kazi bure ili nipate uzoefu kaka,ninachoshukuru nina vibiashara vdg vdogo ambavyo ndo navitumia kujisomesha,lakini mbali na biashara nataka niwe daktari mtaalamu.
Kwa hyo sasa mkuu mbali na modules za chuo je inawezekana kupata maarifa zaidi kuhusu mada fulani mtandaoni ili kukuza uelewa au hutakiwi kusoma nje ya kile unachoelekezwa na waalimu ?
 
Nacte huwa hawatoi notes ila wanatoa muongozo wa notes yaan summary tu hvyo nje ya box itakusaidia sana
Kusoma nje ya box ni muhimu ila baada ya kuhakikisha yaliyopo kwenye module unaelewa vizuri yote tena mstari kwa mstari nacte wanataka uelewe na ukariri walichoandika kwenye guide yao hivyo itabidi muda mwingi uwe busy sana kusoma ndo utatoboa,kusoma mpaka nje ya box kunakuongezea uelewa na notes za guide ya nacte zinakuwa rahisi tu
 
Wakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea.

Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika sehemu mbalimbali hasa mahotelini kwa muda usiopungua mwaka.

Mwanaka jana nikasema naenda kutimiza ndoto yangu nika apply nikapata chuo private, nimecjaguliwa kusoma Clinical Medicine ambayo nimefuatilia nimeambiwa nikikomaa na GPA ya 3.5 naweza kusoma MD moja kwa moja.

Sasa je, wakuu nijiandae vipi ili nifaulu?

Maana natishwa naambiwa ni kozi nguvu hasa kwa mm niloishia form four bora ingekuwa japo form six,ikoje hii wakubwa?

Nijiandae vipi ili kozi isiwe mogumu kwangu mwadau wangu?
Hakuna kitu kigumu kama ukiweka bidii. usiangalie Nani anasema nini? fanya kile moyo wako umenuia kikubwa kukaza buti walioweza wamewezaje? ukiamua utafanikisha aliyejuu akusimamiee..
 
Asipokuelewa hapa atakua tayari ameshafeli .kitu nilichogundua kwa mtoa mada ana wenge halafu na kaulimbukeni anatakiwa ataulie akapige shule aache mbwembwe.

Back
Top Bottom