lelulelu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 401
- 366
- Thread starter
- #61
Asante sana dadaangu,kama hutojali unaweza kunielekeza tovuti ambazo za uhakika kupata knowledge kuhusiana na kozi yangu hiyo?Ndio, humu kwenye internet kumejaa information nyingi kuongeza knowledge mbali na chuo ni wewe tu,tafuta tovuti ambazo ni za kidaktari ambazo ni za uhakika..umejiridhisha kuwa ziko credible then uwe unajisomea,cha muhimu kuelewa mkuu na sio ku kremu,kila la kheri..
Na je kuna vitabu vyovyote vya kusoma labda kwa wakati huu ambavyo vinaweza kunilainisha kuelewa masomo vzuri ?
Kuhus kujisomea hilo halinashida kabisa majitaidi kwa kadri ya hali yangu