Nimechaguliwa Bsc in optometry kcmc

Nimechaguliwa Bsc in optometry kcmc

Erick tryphone

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
387
Reaction score
84
Hii course inausu nini? vipi kuhusu process za kuomba transfer kupitia TCU
 
Inahusu utaalamu wa macho na miwani pamoja na uono hafifu ina dili sana huwez kuwa masikin kabisa tena unauwezekano ukiwa mjanja hapa mjini unaweza miliki vutega uchumi vingi sana kupitia hyo professional...
 
Mkuu ulichagua kozi usiyojua inahusu nini?Unatafuta balaa

BTT...Optometry ni fani inayohusu all aspects za vision problems.
 
Ahahahaha BRN hiyo mkuu only in Tz mtu anaomba kusoma kitu asichokifahamu,.
 
Hii course inausu nini? vipi kuhusu process za kuomba transfer kupitia TCU

daaaa we jamaa una bahati kinoma na unataka uichezee....optometry...halafu unataka transfer...ya kazi gan?..ungekuwa karibu ningekuchapa kibao as my young broo...anyway mpaka hapo i think huna mtu wa kukuguide and nshajua ulitaka kusoma nini..M.D,? Pharmacy?..kama nimekosea nitumie namba ako ya tigo nikutumie pesa...i know coz nilikuwa muhanga wa hii kitu...u are feeling inferior coz wenzako uliowazidi hata ufaulu wamechaguliwa M.D?..hahahahaha...idiot...nenda kasome mdogo wangu and u'll never regret t...sometimes we ought to do somethng we don like not becoz we don deserve to do wat we like...t is a destiny and fate..if u force to escape it u will just injure urself...sisomi optometry bt kuna wakati katika safari yangu niliitamani as i saw those guyz making money...
 
WOW! 10000000 likes
 
Optometrist Ni mchonga miwani, ophthalmologist ni daktari bingwa wa macho,
 
daaaa we jamaa una bahati kinoma na unataka uichezee....optometry...halafu unataka transfer...ya kazi gan?..ungekuwa karibu ningekuchapa kibao as my young broo...anyway mpaka hapo i think huna mtu wa kukuguide and nshajua ulitaka kusoma nini..M.D,? Pharmacy?..kama nimekosea nitumie namba ako ya tigo nikutumie pesa...i know coz nilikuwa muhanga wa hii kitu...u are feeling inferior coz wenzako uliowazidi hata ufaulu wamechaguliwa M.D?..hahahahaha...idiot...nenda kasome mdogo wangu and u'll never regret t...sometimes we ought to do somethng we don like not becoz we don deserve to do wat we like...t is a destiny and fate..if u force to escape it u will just injure urself...sisomi optometry bt kuna wakati katika safari yangu niliitamani as i saw those guyz making money...

Duhhh kweli bro mimi nilikua nataka kusoma MD
 
Back
Top Bottom