Wakuu habari zenu namshukuru mungu kwa afya na uzima ninaomba ushauri nimechaguliwa chuo
Bsc agriculture economics and agrb-SUA
Bsc In laboratory science and technology-must(mbeya)
Nimesoma cbg naomba ushauri wakuu ni confirm kozi gani ambayo ipo na umuhimu sana kulingana na nchi yetu inapoelekea naomba kuwasilisha