Unavyo anza mwaka unatakiwa kulipia unit ngapi na semester ya pili ngapiUkishalipa ada utajisajili then utapata access ya notes zote kwan wana kitu wanaita moodle iko vizur sana INA notes za unit zako zote
Ulipaji wa Ada umekaaje maana nimecheki prospectus yao wanasema 60000@unit
Ndo nataka nianze this year mkuuUpo mwaka wangapi mkuu
Oooh poa mkuuNdo nataka nianze this year mkuu
Vp usha apply? Naona wamefungua udahili janaBasi twaanza pamoja mkuu
OK.. Vp kwa nn umechagua accounting mkuu? Labda unaweza ukanibadili mawazo na mimi nije kona hiyo [emoji1] [emoji1]Bado Mkuuu
Nilikua na lengo hilo pia Ni mechek prospectus ya chuo nimegundua ina mambo mengi nayo hitaji ambayo kwenye finance hayapo kama auditing na taxesOK.. Vp kwa nn umechagua accounting mkuu? Labda unaweza ukanibadili mawazo na mimi nije kona hiyo [emoji1] [emoji1]
Mbona sijaiona prospectus ya 2017/18 kwenye website yao, naona ya 2016/17Nilikua na lengo hilo pia Ni mechek prospectus ya chuo nimegundua ina mambo mengi nayo hitaji ambayo kwenye finance hayapo kama auditing na taxes