[emoji41] tutakuwa pamoja mkuu, Ila mi nachukua BBA FinanceMaoni zaidii
sijafatilia hilo nasubiria registration namba then nitaulizia hilo ingawa hata mimi niliona kuwa ni 60,000 per unitUlipaji wa Ada umekaaje maana nimecheki prospectus yao wanasema 60000@unit
Naomba ni PM na namba yako then tutawasiliana.Sawa Mkuu
Ukishalipa ada utajisajili then utapata access ya notes zote kwan wana kitu wanaita moodle iko vizur sana INA notes za unit zako zoteSamahani ushashi hivi notes huwa wanatoa au wanatoa tu miongozo ya kusomaa tukutane kwenye mtiani