Mwalimu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 1,600 Reaction score 1,089 Mar 14, 2011 #1 Unapokuwa umeishiwa.... Attachments WIKIENDI 1.jpg 51.2 KB · Views: 172
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Mar 14, 2011 #2 Baada ya hapo unatafuta magazeti ya zamani unaanza kusoma
Z zayat JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 337 Reaction score 42 Mar 14, 2011 #3 Ukimaliza kusoma magazeti ya zamani unaanza kudangaya watoto mimi zamani hivi mimi zamani vile
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,970 Reaction score 13,427 Mar 14, 2011 #4 wazee wa zamani wengi wao ni fix mwanzo mwisho
M MASOKO Senior Member Joined Mar 9, 2011 Posts 121 Reaction score 17 Mar 15, 2011 #5 halafu utakuta mzee ananza fix zake mi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani na hii ni kwa wazee wote sasa sijui nani alikuwa anakuwa wa mwisho.au kipindi hicho namba ilikuwa moja.
halafu utakuta mzee ananza fix zake mi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani na hii ni kwa wazee wote sasa sijui nani alikuwa anakuwa wa mwisho.au kipindi hicho namba ilikuwa moja.
Kiherehere JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,806 Reaction score 622 Mar 15, 2011 #6 nimeipenda hii kama inanihusu vile.... ila kwenye wa kwanza MIMI ILIKUWA NI UKWELI.
A atieno Senior Member Joined Nov 4, 2010 Posts 151 Reaction score 11 Mar 16, 2011 #7 Washawasha said: wazee wa zamani wengi wao ni fix mwanzo mwisho Click to expand... atawasikia wakisema walikuwa na akili darasani, hawakufeli wakati maisha wanayoishi yanaonesha hata shule hawakukanyaga hata kwa bahati mbaya
Washawasha said: wazee wa zamani wengi wao ni fix mwanzo mwisho Click to expand... atawasikia wakisema walikuwa na akili darasani, hawakufeli wakati maisha wanayoishi yanaonesha hata shule hawakukanyaga hata kwa bahati mbaya
A atieno Senior Member Joined Nov 4, 2010 Posts 151 Reaction score 11 Mar 16, 2011 #8 mwenye nikiwa sina kitu ndo utaniona na hiyo tv la sivyo, home sipatikani.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,757 Reaction score 22,063 Mar 18, 2011 #9 mimi ni movie tu.