mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Jukwaa la siasa haujui lilipo?Kumbuka kuwa ifikapo 2025 Tanzania inatakiwa kuwa na uchumi wa kati!...
Kwa akili za kusimuliana ngono Kama hizi sidhani Kama tutafika! Hongera kwa kugombaniwa poti.
bora unisaidieJukwaa la siasa haujui lilipo?
siku nyingine usalimie kwanza ndi ueleze shida yako, pumbafNamalizia kwa kuwasalimia
ha ha ha ha mkuu mapenzi hayategemei uchumi wa kati,uwe unalala kichakani,gorofani n.k mapenzi yapo tu.Kumbuka kuwa ifikapo 2025 Tanzania inatakiwa kuwa na uchumi wa kati!...
Kwa akili za kusimuliana ngono Kama hizi sidhani Kama tutafika! Hongera kwa kugombaniwa poti.
Ha ha hamkuu' "mimi ni mimi na wewe ni wewe"
jipe ushauri mwenyewe