Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Pole mkuu ila mkeo ameshatafunwa vya kutosha

Hapo mkanye mwambie kama kuna mambo ulikuw unafanya kinyume acha kuanzia sasa then kaa Kimyah kiroho safi lakn ndio uanze kumfatilia kuanzia hapo

[emoji741]
 
Pole mkuu ila mkeo ameshatafunwa vya kutosha

Hapo mkanye mwambie kama kuna mambo ulikuw unafanya kinyume acha kuanzia sasa then kaa Kimyah kiroho safi lakn ndio uanze kumfatilia kuanzia hapo

[emoji741]
Imani kwake imeshuka Sana,
Ila sitomuonyesha ili asijihadhari Sana
Nataka nimfatilie kimya kimya bila kujua
 
Juzi tu alikuwa hoi akakimbizwa hosp mpaka mchepuko wako ukazingua. Leo ameanza kuzingua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…