Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,463
- 7,256
Ndugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?
Hee jirani jaribu kujigawa kimajukumu zaidi.
hahahaha yaani mie nilivyoona heading nikajua umeathirika na haya maradhi yetu
hehehehe kuendelea kusoma kumbe ni kale ka ugonjwa ka wote

jamani tuwe realistic wengine wanasema wameathirika lakini ukiangalia ana Posts 2 tu kivipi aathirike? ndio maana mimi sisemi ingawa pia nimeathirika.
simple solution,omba ban tu toka kwa invisible atakupa mapumziko ya kutosha.utarudi ukiamuaNdugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?
Aisee bujibuji pole sana hata kuufanyia mwili usafi mara uamkapo unajisahau mpaka upate ka jf,hii ni next level ya uathilikaNdugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?
ha haa,problem ilikuja mamaa haelewi kiswahili,akajua huwa nachat na demu mwingine mbongo online,basi wee kiliwaka sikumoja mpaka ikabidi nitafute mada moja ya kiingereza nimuoneshe asome ndo akaelewa,na ndo pale ikabidi nirekebishe muda wa kuingia hapa JF.Ndugu wana Jamii forums,