Nasikia hapa kwetu wanapanga kuiwekea FIREWALL.. labda itasaidia kwa upandewangu maana cafe ni weekend tu,,,ila nitawamiss sana
usijaji kitabu kwa rangi ya jalada kaka,ulinitisha na hicho kichwa cha habari
Jf inatishia ndoa yangu!!!
Ndugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?
Mi ni mgeni humu, mbona mnanitisha? Labda nijipe matumaini tu kuwa Hii addiction ya JF hata nikiipata, itakuwa ina faida kuzidi hasara ili mradi kuwe na Time table. Au unaonaje Bujibuji? Panga Ratiba great thinker, usiharibu kazi.
Ndugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?
duh yani nimestuka maana wikend tulikuwa wote nikajua kama umepata huohuo duh kale katoto sijui kangebaki na nani?labda jenny
Mie mwenzio nilijua kaathirika na MKAO WA SABA... hahahahaaaa
ah ah ah jenny mpz umenichkesha sana au kaathirika na hadithi?
Nahisi na hadithi, eti mwenzetu tuambizane basi