Paramagamba
Member
- May 12, 2017
- 85
- 129
Hmmm! we mzee hilo pumbu halina fangas Kweli?
Nenda wakupe dawa za fangas usije kuoza huku umesimama wima!
Sawa mkuu. Nami nina imani hiyo.POLE SANA MKUU KWA YANAYOKUSIBU NATUMAINI UTAPATA USHAURI SAHIHI KWA TATIZO LAKO
Hmmm! we mzee hilo pumbu halina fangas Kweli?
Nenda wakupe dawa za fangas usije kuoza huku umesimama wima!
Mkuu hakuna mtu yoyote duniani anayenishinda kwa usafi. Nina amini swala hilo.Hiyo harufu ni hadi majirani inawakera au wewe mwenyewe tu. Naamini mbupu lazima litoe harufu ya kibeberu beberu kama hujaoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
PE unamaanisha nini?Duuu, polee mzee...
Inaonesha hali si nzuri, Nahisi ni fungus,
Huna PE? Ukiwa maeneo ya joto sana Epuka kusunda nguo nyingi Na za kubana huko chini kibiti....,
Jitahidi kuoga, Mafuta haina ulazima wa kupaka,
Vaa boksa za Cotton, Ukilala ziache zipunge upepo, Zioshe kwa maji baridi, Unaweza nyunyizia Powder, Ukiwa katika mazingira Binafsi au Yasio na taharuki/vishawishi/watu wengi hasa KE, vaa nguo za ku relax, Kama track hivi...
Ukishajizoesha, na mwili uka adapt, basi itafika hatua mwili utazoea na hutatumia nguvu sana kupambana na hio harufu..,
Katika hali ya kawaida korodani hutoa harufu usipooga, siku nzima katika mazingira ya joto kali, Na sio ghafla tuu, mwanzo utaisikia mwenyewe labda baada ya hapo uzidishe,
Kwenye mazingira ya Baridi hata week hazitoi harufu kiasi hicho.
Hapo upande wa Dunia unatudanganya...other wise we ni msafiMkuu hakuna mtu yoyote duniani anayenishinda kwa usafi. Nina amini swala hilo.
Sikiliza ndugu. Nenda dukani, nunua deodorants za kupulizia au za kurole mfano; nivea for men, dove men care, men mitchup na nyinginezo. Kila ukimaliza kuoga asubuhi weka sehemu husika. Hii si tiba ila inakulinda dhidi ya harufu hiyo kwa masaa 24 mpaka 48. Fanya hivyo mkuu utanipa mrejesho. Ila jipange vina gharama kidogo. Ni kaunzia tshs 5000 na kuendelea. Unatumia maisha yako yote kama hupendi harufu. Wanaozitumia kutibu kikwapa wataongezea hapa.Wadau mwenye kujua madhara endapo nitaogea sabuni ya Omo hasa katika korodani anijuze.
Korodani zangu zinatoa sana harufu nimeanza kuogea Omo baada ya sabuni nyingine zote kudunda kuanzia detol, protex na kadhalika.
Korodani langu linatoa sana harufu huu ni mwaka wa 18 harufu haitaki kutoka. Mwanzo nilidhani labda ni fangus ambazo ni chronic lakini hakuna cha fangus wala nini nimepaka sana cream za fangus na kumeza dawa zake moja inaitwa zocon lakini hakuna kitu sio fangus bana..
Ndugu yangu hayo madeodorant ndiyo usiseme ni kama ndiyo yanachochea sasa harufu kuongezeka. Nimeyatumia kwa miaka mingi hola. Pia yanaharibu sana ngozi ya korodani.Sikiliza ndugu. Nenda dukani, nunua deodorants za kupulizia au za kurole mfano; nivea for men, dove men care, men mitchup na nyinginezo. Kila ukimaliza kuoga asubuhi weka sehemu husika. Hii si tiba ila inakulinda dhidi ya harufu hiyo kwa masaa 24 mpaka 48. Fanya hivyo mkuu utanipa mrejesho. Ila jipange vina gharama kidogo. Ni kaunzia tshs 5000 na kuendelea. Unatumia maisha yako yote kama hupendi harufu. Wanaozitumia kutibu kikwapa wataongezea hapa.
Kwa kweli inaunguza sana. Leo nitajaribu nione tena. Nikishatumia omo huwa nakaa kwenye beseni kutuliza maumivu ya kuunguzwa. Omo ni kali sana unaweza sema unakatwa na wembe.Sasa hiyo Ommo haikuunguzi mkuu? na je unaona tofauti ya harufu kupungua baada ya kuanza kuitumia?
Pole sana
Aisee pole sana. Basi una tatizo la ziada.Ndugu yangu hayo madeodorant ndiyo usiseme ni kama ndiyo yanachochea sasa harufu kuongezeka. Nimeyatumia kwa miaka mingi hola. Pia yanaharibu sana ngozi ya korodani.