Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Mtoto wa kiume unalilia penzi wakati wachuchu wapo wengi...

Mchuchu akizingua unamshusha cheo, unatafuta mchuchu mwingine unampandisha cheo toka just a friend to a girlfriend...
Jambazi mzoefu!
 
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.😥

Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.

Tuombeane tu tuvuke salama..😥
Ouyaaaa kumbe una degree😅😅😅😂😂😂😂 kaombe kazi kaka achana na mapenziiiii
 
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.

Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.

Tuombeane tu tuvuke salama..
Jamaa kuna Mambo mengi ya kuombea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom