Kutokana matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii nimeanza kukubari upitiswaji Wa ile sharia inayowabana kwa nguvu zote watumiaji Wa mitandao ya kijamii. Hii ni kutokana na ukweli kuwa wapo watu wanaoitumia mitandao hii kuharibu sifa za watu.
Kama sheria hii ingekuwa sheria hii inapiga kotekote bila kusubiri kiongozi Wa ccm atukwanwe basi naamini sheria hiyo ilikuwa fimbo nzuri kwa wale wote wanaoishindwa kuitumia mitandao vizuri