No spoilerJesse anaamini mwalimu wake wa Chemistry Walter White ni artist 😂😂
Ni nzuri ila ni kama ipo overrated sanaVipi ni ya kawaida sana? Maana nimeianza hivi karibuni, kwasasa nipo Episode ya tatu nasubiri siku ya kesho niendelee nayo.
Wewe ushaziangalia lo??