Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

Nikufunze dawa nyingine kali sana na inaua kwa 100%..... Siku ingine just chukua mafuta ya TAA ya kutosha, Chukua sabuni ya unga (OMO) hata ya jero ile, na pia chukua chumvi hata ile packet ya 500.... Haya changanya huo mchanganyiko wote na koroga mpaka upate rojorojo flani hivi, kisha chuja na yale maji pulizia sehemu yenye hao wadudu.... KAMWE huwezi kuwakuta huu mchanganyiko unawaua papo hapo ukimpata...

Nimetumia sana hii njia ya kienyeji kuwamaliza kule kijijini kwa bibi angu baada ya kwenda na kuwakuta kwenye geto la vijana...
Mkuu vipi hii inaua mende pia?
 
Nakumbuka nishawahi kuchoma nguo hadi godoro langu kwasababu ya hao viumbe.
Hao jamaa ni hatari sana ila nashukuru huu ni mwaka kwa tano siko nao .
 
Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.

Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.

View attachment 1591388

Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.

Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni
Hizo mbinu tulizitumia JKT kwa yale mablanketi mazito.
Yakikuwa na kunguni balaa!!
 
Dah kuna siku nililala kwa ndugu vingunguti walinipa kichapo hatar usiku.Kila nikiamka kuwasha taa sioni kitu,mm nilijua ni mbu aisee.Asubuhi niliamka sitamaniki miguu imevimba hatar naambiwa ni kunguni
 
Tumia sumu ya kuua wadudu inaitwa Diazinone,hiyo hawafurukuti wanaisha wote...
 
mwezi mmoja tu unakuja hapa kujinadi, subiri kwanza walau ½ mwaka upite...!
 
Nilikutana nao shule kwa mara ya kwanza, vita ilikua kali , niliwauwa sana ila harufu yake ukimuua mdudu mmoja tu, ni kama umeua wadudu mia, harufu yake ni mbaya sana, wana muda wao wa kufanya kazi, ukilala tuu wanakuja kama wavietnam😂

Mpaka bweni lilivyoungua na moto ndo wakafia humo, vinginevyo hao wadudu ni wagumu sana kufa, unaua mmoja huku ameacha ametaga mayai 20
 
Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.

Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.

View attachment 1591388

Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.

Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni
Wee jombaa ni mkavu kinyama unaishi na hao viumbe kwani hunaga ata manzi wa kukupa maushauri ya usafi Arifu
 
Usifurahi kwanza. Subiri yale mayai yao yatakapoanguliwa uanze tena kazi ya kuwababua kwa maji moto. Vibishi sana hivi vidudu.
 
Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.

Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.

View attachment 1591388

Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.

Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni
Hao wazee wa kazi wana roho saba kama paka,mpaka utupe magodoro ndo wataisha

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ndio dawa pekeeee... dawa za dukanii haziui wala kuharibu mayai ya kunguni ila maji ya motooo haswa ndio dawa
 
Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.

Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.

View attachment 1591388

Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.

Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni
Pole ndugu,home ni mwananyamala kwa myogore,manzense kwa tumbo au wapi ndugu🤔
 
Back
Top Bottom