Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.

Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.

View attachment 1591388

Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.

Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni
Nikufunze dawa nyingine kali sana na inaua kwa 100%..... Siku ingine just chukua mafuta ya TAA ya kutosha, Chukua sabuni ya unga (OMO) hata ya jero ile, na pia chukua chumvi hata ile packet ya 500.... Haya changanya huo mchanganyiko wote na koroga mpaka upate rojorojo flani hivi, kisha chuja na yale maji pulizia sehemu yenye hao wadudu.... KAMWE huwezi kuwakuta huu mchanganyiko unawaua papo hapo ukimpata...

Nimetumia sana hii njia ya kienyeji kuwamaliza kule kijijini kwa bibi angu baada ya kwenda na kuwakuta kwenye geto la vijana...
 
Ni kweli, mimi nilitumia kila mbinu iliyotajwa hapa ilishindikana. Niliwaachia room kwa miezi mitatu nilivyorudi nikakuta wote wamekufa ndio ilikuwa pona yangu
Una bahati tu, Kunguni unaweza kuacha/kimbia geto hata miezi 3 na bila hata kula damu na wakasurvive tu, ila wanakuaga weupe hawana damu siku ukirudi getoni wanakushughulikia hata mchana kweupeee wanakunywaga damu mpaka wanashindwa kutembea maana wanavimbaga miili yao sana sabu ya kukaa kiu na njaa ya muda mrefu...
 
Anayesema kunguni ni dalili ya umaskini nakataa. Mimi sijawahi kumuona kunguni na leo hii ndiyo picha ya kwanza namuona ukiacha ile ya la sita ya wadudu kama papasi n.k. na siyo tajiri.
 
Ni kweli, mimi nilitumia kila mbinu iliyotajwa hapa ilishindikana. Niliwaachia room kwa miezi mitatu nilivyorudi nikakuta wote wamekufa ndio ilikuwa pona yangu

Wanatabia ya kufanya hibernation (nusu kufa) kwahiyo kaa ukijua watafufuka muda wowote kuanzia sasa.
 
Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.

Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.

View attachment 1591388

Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.

Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni
Aisee hongera kunguni ana dhalilisha sana !; anatokea hadharani mbele za watu bila weww kumuona jamaa wanakwambia aisee vipi!?? Unafunga hawa jamaa!??? Aibuuu
 
wame haibanate hao mkuu..subiria show ya part II
 
Nikufunze dawa nyingine kali sana na inaua kwa 100%..... Siku ingine just chukua mafuta ya TAA ya kutosha, Chukua sabuni ya unga (OMO) hata ya jero ile, na pia chukua chumvi hata ile packet ya 500.... Haya changanya huo mchanganyiko wote na koroga mpaka upate rojorojo flani hivi, kisha chuja na yale maji pulizia sehemu yenye hao wadudu.... KAMWE huwezi kuwakuta huu mchanganyiko unawaua papo hapo ukimpata...

Nimetumia sana hii njia ya kienyeji kuwamaliza kule kijijini kwa bibi angu baada ya kwenda na kuwakuta kwenye geto la vijana...
Mkuu unasema kweli? kila aina ya sumu imeshindwa hapa kwangu, dogo alitoka nao shuleni nimekuwa balaa hapa!
 
Nikufunze dawa nyingine kali sana na inaua kwa 100%..... Siku ingine just chukua mafuta ya TAA ya kutosha, Chukua sabuni ya unga (OMO) hata ya jero ile, na pia chukua chumvi hata ile packet ya 500.... Haya changanya huo mchanganyiko wote na koroga mpaka upate rojorojo flani hivi, kisha chuja na yale maji pulizia sehemu yenye hao wadudu.... KAMWE huwezi kuwakuta huu mchanganyiko unawaua papo hapo ukimpata...

Nimetumia sana hii njia ya kienyeji kuwamaliza kule kijijini kwa bibi angu baada ya kwenda na kuwakuta kwenye geto la vijana...
Mkuu huu mchanganyiko vipi unaua wale vititiri vya mbwa na je madhara kwa mbwa akiiramba?
 
Back
Top Bottom