Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
hawa jamaa wameturahisishia sana maisha. nimecheki mechi ya azam na ndanda. mambo ya vingamuz viwiili viwili sasa basi. AZAM Media Flash Page
ulijiunga na kifurush cha tsh ngapi kwa mtandao gani? ili nasi sasa tuweze pata matangazo
unadhani katumwa na nani na kwa manufaa gani? mi sioni kama aliymtuma ananufaika na chochote hapo maana kuangalia kupitia streaming ni bure so that means hao wahusika wa hiyo TV hawafaidiki na kitu. kabla ya kufikia huko tuwe tuna reason kidogo. la msingi atuambie alitumia KIFURUSHI GANI, CHA MTANDANO GANI, CHA TSH NGAPI kuangalia mechi hiyo mwanzo mpaka mwisho. pia je speed ilikuwa nzuri hakukuwa na kukwama kwama kila wakati au buffering kila wakati? tunaelimishana tu hapa na kugawana maujuzi.Huyu katumwa. Mbona hata sie twaangalia kupitia dstv app
swali zuri sana
Huyu katumwa. Mbona hata sie twaangalia kupitia dstv app
Mkuu, nielekeze hiyo ya DSTV app.
Unadownload app yake. Afu unaweka namba za kadi yako ya decoder ya dstv
Unaweza kuona hata kwenye Simu mkuu
sorrry wakuu nilikuwa kwenye mechi ya mbeya city. niliweka kifurushi cha 1000 cha siku cha voda. kukwama kulikuwepo lakini si hadi kuharibu ladha. goli la kavumbagu nililiona vizuri kabisa. pia sauti ipo clear sana.unadhani katumwa na nani na kwa manufaa gani? mi sioni kama aliymtuma ananufaika na chochote hapo maana kuangalia kupitia streaming ni bure so that means hao wahusika wa hiyo TV hawafaidiki na kitu. kabla ya kufikia huko tuwe tuna reason kidogo. la msingi atuambie alitumia KIFURUSHI GANI, CHA MTANDANO GANI, CHA TSH NGAPI kuangalia mechi hiyo mwanzo mpaka mwisho. pia je speed ilikuwa nzuri hakukuwa na kukwama kwama kila wakati au buffering kila wakati? tunaelimishana tu hapa na kugawana maujuzi.
Red Giant njoo hapa tafadhari.