financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Fundi magari wangu kalambishwa ban dah, ila yule mimi nilishakwambia aliniacha ndiyo maana nikawa na wewe yule ni wa Khantwe sahiviNiambie my lovely, kwanza umeachana na yule fundi magari au!
Mafii😀😀Ndo maana malalamiko ya kukosa ajira yanaongezeka, taka taka kama hizi eti uziajili kwenye kampuni au taasisi yako, mafiiiiii
Daaah mpaka atoke kifungoni sisi tutakua tuna likijana kabisa yaani, karibu sweet nipo kwa ajili yakoFundi magari wangu kalambishwa ban dah, ila yule mimi nilishakwambia aliniacha ndiyo maana nikawa na wewe yule ni wa Khantwe sahivi
😀😀 tena wakiwa mapacha itakua nzuri zaidi babe tuchangamke kabla ban haijaisha😀Daaah mpaka atoke kifungoni sisi tutakua tuna likijana kabisa yaani, karibu sweet nipo kwa ajili yako
Usijali my love leo nimekata ticket kutokea ubeberuni jiandae kunipokea alhamisi usiku 💞💞😀😀 tena wakiwa mapacha itakua nzuri zaidi babe tuchangamke kabla ban haijaisha😀
NampendaAcha kumsumbua binti wa wenyewe
AhsanteHuo muandiko wake tu, umekuwa hauna ushirikiano sasa hayo mapenzi itakuwaje... we endelea na mambo yako tu, vitu vingine shirikisha ubongo wako kumalizana nayo. utachomwa moto
HapanaUmejaribu kumtumia muamala?
Yeye hakupendiNampenda
Fanya hivyo alafu ulete mrejesho. Mtumie muamala angalau wa kuanzia Tsh 50,000 au zaidiHapana
Sawa babe Ugu😍😃Usijali my love leo nimekata ticket kutokea ubeberuni jiandae kunipokea alhamisi usiku 💞💞
Sidhani kama atapokea, anaonekana bado mshamba mshamba, halafu mimi sina pesa ya kuchezea hivyo. Sio mpenzi wangu, sasa pesa ya nini?Fanya hivyo alafu ulete mrejesho. Mtumie muamala angalau wa kuanzia Tsh 50,000 au zaidi
Sio hanipendi, alishaingia kingi ila mtu wake kashtukia.Yeye hakupendi
Sawa mke mwemaSawa babe Ugu😍😃
Ushamsahau yule mnyakyusa?maana unavyomvaa mwenzio utadhan hayawah kukukumbaHiyo writing mmh kweli chuo ameenda kusomea ujinga😀
Ila nemuelewa kasema koma kabisa kummendea na mpua wako huo kama bakuli🏃♀️
Kama niendelee kukaza au!Sasa umeshindwa kuelewa nini hapo ?
Sasa umeshindwa kuelewa nini hapo ?Sio hanipendi, alishaingia kingi ila mtu wake kashtukia.