H.M.MUYANGO
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 110
- 9
Naomba msaada wa taratibu za kukichapa na kukisajiri ili kupata haki miliki yangu kwa ajili ya kukiuza katika jamii.
Naomba msaada wa taratibu za kukichapa na kukisajiri ili kupata haki miliki yangu kwa ajili ya kukiuza katika jamii.
oky ninachapa na kukupelekea kwenda kukisajili kwa maktaba hivyo karibu niPM tufanye hiyo kazi
Aise, kumbe;
Kuna mtu alikuwa pia anahitaji msaada kama huu;
Nitamwambia.
hata mimi na hitaji hii huduma ningependa kujua gharama zakenashukuru sana best
mwambie best niko nimejaa tele kwa kazi hii
hata mimi na hitaji hii huduma ningependa kujua gharama zake
nPM tuwasiliane ili tufanye kazi hiyo best