mkuu tafuta dem mbovu ndo solution hapa hawanaga shidasalaam wana jf,
Mwenzenu sasa nimeamua kufunga mlango na dirisha la tabia ya kuhonga honga kwa namna yoyote kwani nimegundua hii tabia inarudisha nyumba maendeleo yangu sana,
yaani mwanamke ambaye hayupo kwenye familia yangu basi hata aje na style gani yakuniomba pesa, sitoi hata cent, maana kuna baadhi ya wanatumia mwanya huu kunimaliza sana,
Yaani ndugu hili jambo nimesha litafakari sana nakupanga mkakati wake, na hakika nitafanikiwa tuNikupongeze kwa kuwaza mbali hivyo, huwezi fikia mafanikio yanayohussha fedha bila kujibana, hasa sisi wa kipato cha kawaida. Zoezi hilo lazima liende sambamba na kuacha mchepuko, maana starehe garama, ukiweza hilo hongera sana. Mimi sina mke sasa sijui ninapofanya sijui nako ni kuchepuka maana sina njia kuu, naweza nikajima mwenzi mmoja hadi miwilli, ila baadae hinishinda na kupanga bajeti ya papuchi na punguza uzito namlipa hatujuani tena.
[emoji121]salaam wana jf,