Mahari robo!! hata kama najilea au sina walezi siwezi kupokea mahari yangu robo..alafuuu kama hujui kulala ovyo na wanawake kunakufanya unakua umeungana na nafsi nyingi mwilini na ukija kuoa lazma zimuingie na mkeo ndomana kuna watu wanaoa wife material afu baada ya mda kidogo mke anabadilika anaanza uzinzi unaanza kujiuliza imekuaje..kumbe zile nafsi ulizokua unagegeda ovyo zinaanza kujibu kitendo tu cha kulala na mkeo nayeye anazipata izo roho na usiombe kama ulishalalaga na mtu mwenye yale madude ya kupanda ovyo sijui ndo maruhani yaan yale yanatuliaga tuliiii ila ukishazaa tu vitoto ndo yanaingia yanaanza kuonekana kwa watoto. Mtulie muoe mfanye maisha mbuzi nyie.mxeew