Nimeamua nitoe robo ya mahari

Nimeamua nitoe robo ya mahari

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Kuna kademu kazuri msomali sio msomali,mnyarwanda sio mnyarwanda kama vile kaethopia Fulani hivi matata!
Sasa mtoto bado mbichi kabisa kanichengachenga kama maradona!
Sasa nataka nitangaze ndoa feki natoa na vijimahari vya kuzugia nijilie papuchi hadi nikiona imetosha niingie mitini
 
Hio ni dhambi iliokithiri.

Namuomba Mungu lengo lako lisitimie.
Pia namuomba Mungu huyo binti afungue akaunti ya jamiiforum leo.
Kisha auone uzi wako.
Kisha akugundue.
Kisha asiwe na mazoea na wewe tena.

AAAMIN.
 
Vocha chipsi kuku tu unagegeda fuleshiiii. Mahari labda uje utowe kwa bibi yake.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sasa mkuu mahari ya nini kama umeamua kumla na kusepa, yani kakutingisha kidogo tu kwamba humgegedi hadi umuoe na wewe umeshindwa hata kutumia akili ya ziada hadi ukaona mahari ndo suluhisho.. Huko kujitafutia laana mkuu mahari sio kitu rahisi kama unavyowaza bali ni jambo zito ohoo we haya!
 
Kuna kademu kazuri msomali sio msomali,mnyarwanda sio mnyarwanda kama vile kaethopia Fulani hivi matata!
Sasa mtoto bado mbichi kabisa kanichengachenga kama maradona!
Sasa nataka nitangaze ndoa feki natoa na vijimahari vya kuzugia nijilie papuchi hadi nikiona imetosha niingie mitini
Mahari robo!! hata kama najilea au sina walezi siwezi kupokea mahari yangu robo..alafuuu kama hujui kulala ovyo na wanawake kunakufanya unakua umeungana na nafsi nyingi mwilini na ukija kuoa lazma zimuingie na mkeo ndomana kuna watu wanaoa wife material afu baada ya mda kidogo mke anabadilika anaanza uzinzi unaanza kujiuliza imekuaje..kumbe zile nafsi ulizokua unagegeda ovyo zinaanza kujibu kitendo tu cha kulala na mkeo nayeye anazipata izo roho na usiombe kama ulishalalaga na mtu mwenye yale madude ya kupanda ovyo sijui ndo maruhani yaan yale yanatuliaga tuliiii ila ukishazaa tu vitoto ndo yanaingia yanaanza kuonekana kwa watoto. Mtulie muoe mfanye maisha mbuzi nyie.mxeew
 
Ni wivu tu
Hio ni dhambi iliokithiri.

Namuomba Mungu lengo lako lisitimie.
Pia namuomba Mungu huyo binti afungue akaunti ya jamiiforum leo.
Kisha auone uzi wako.
Kisha akugundue.
Kisha asiwe na mazoea na wewe tena.

AAAMIN.
 
Ni wivu tu
Mahari robo!! hata kama najilea au sina walezi siwezi kupokea mahari yangu robo..alafuuu kama hujui kulala ovyo na wanawake kunakufanya unakua umeungana na nafsi nyingi mwilini na ukija kuoa lazma zimuingie na mkeo ndomana kuna watu wanaoa wife material afu baada ya mda kidogo mke anabadilika anaanza uzinzi unaanza kujiuliza imekuaje..kumbe zile nafsi ulizokua unagegeda ovyo zinaanza kujibu kitendo tu cha kulala na mkeo nayeye anazipata izo roho na usiombe kama ulishalalaga na mtu mwenye yale madude ya kupanda ovyo sijui ndo maruhani yaan yale yanatuliaga tuliiii ila ukishazaa tu vitoto ndo yanaingia yanaanza kuonekana kwa watoto. Mtulie muoe mfanye maisha mbuzi nyie.mxeew
 
pekeka barua tu
tunaiita baruatomb@
 
Kuna kademu kazuri msomali sio msomali,mnyarwanda sio mnyarwanda kama vile kaethopia Fulani hivi matata!
Sasa mtoto bado mbichi kabisa kanichengachenga kama maradona!
Sasa nataka nitangaze ndoa feki natoa na vijimahari vya kuzugia nijilie papuchi hadi nikiona imetosha niingie mitini
Amekeketwa utafuja pesa zako bure.
 
Wanaume kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. JIONGEZE!

Kuna kademu kazuri msomali sio msomali,mnyarwanda sio mnyarwanda kama vile kaethopia Fulani hivi matata!
Sasa mtoto bado mbichi kabisa kanichengachenga kama maradona!
Sasa nataka nitangaze ndoa feki natoa na vijimahari vya kuzugia nijilie papuchi hadi nikiona imetosha niingie mitini
 
Mahari robo!! hata kama najilea au sina walezi siwezi kupokea mahari yangu robo..alafuuu kama hujui kulala ovyo na wanawake kunakufanya unakua umeungana na nafsi nyingi mwilini na ukija kuoa lazma zimuingie na mkeo ndomana kuna watu wanaoa wife material afu baada ya mda kidogo mke anabadilika anaanza uzinzi unaanza kujiuliza imekuaje..kumbe zile nafsi ulizokua unagegeda ovyo zinaanza kujibu kitendo tu cha kulala na mkeo nayeye anazipata izo roho na usiombe kama ulishalalaga na mtu mwenye yale madude ya kupanda ovyo sijui ndo maruhani yaan yale yanatuliaga tuliiii ila ukishazaa tu vitoto ndo yanaingia yanaanza kuonekana kwa watoto. Mtulie muoe mfanye maisha mbuzi nyie.mxeew
Mbuzi
 
Hekaya za abunuwasi... roho unazijua wewe kima?.....Dogo huo demu hujamjulia....kama ni mgumu kihivyo peleka posa ...gharimia mambo yake mengi...akili zao tunazijua...atalowana na utamgonga fasta then sepa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom