Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
Tafuta mwanamke bikra mkuu. Hutajuta.Habari wakuu
Ni wazi kwa sasa kupata furaha ya kudumu kupitia mahusiano ya kimapenzi imekua ngumu hasa ukiwa mwananchi wa kawaida.
Angalau wenye nazo huwa wanapendwa hata kama ni kinafki na walionao kwenye mahusiano.
Baada ya kuligundua hilo binafsi nimeamua kuyapa mapenzi kisogo na kidogo nnachokipata nitatunza na kingine nitajijali kwa kupendeza na kula vizuri mara moja moja.
Nyege zikinifika kichwani ntapiga nyeto hata kimoja kwa wiki sidhani kama ni mbaya.
Ila mahusiano kwa sasa ni magumu maana wanawake wanaangalia wanafaidika nini kwako kiuchumi ndio wakuchagulie aina ya kifurushi cha upendo cha kukupa[emoji4]
Atakupenda mwanzoni mwa uhusiano kabla hajakujua ila akishaona hapati alichotarajia(kiuchumi) hakuna rangi utaacha kuona hata kama unazama chumvini.
WANAUME TUTAFUTE PESA.
Kiaje yaniSawa kaka nyege na shida havikai pamoja
Mbn khumbu hakuwa bikra Ila alikupenda mkuuTafuta mwanamke bikra mkuu. Hutajuta.
Ubaya hata hawa mabikra washaaribiwa na dunia kwa vile wanavyoviona kwenye tv nkTafuta mwanamke bikra mkuu. Hutajuta.
[emoji23][emoji38][emoji38]Eti huioni dah!Nyege zinasumbua pale ukishakula ukashiba,hujui hata zinatokea wapi.Unakuta upo zako sebuleni unaangalia TV lkn huioni,akili imehama,kichwa cha chini ndy kimeshika usukani kinaoperate
Ila nyeto mkuu siyo poa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Khumbu alininyanyasa sana mkuu.
Shukrani kaka ngoja tupambaneUmechagua fungo lilo jema hongera sana.
Hii ni kweliTusisahau na kufanya mazoezi. Itakupunguzia mawazo ya ngono kiasi chake. Itakusaidia pia katika upigaji wako nyeto mkuu.