Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
- Thread starter
-
- #81
Kwahiyo kama MTU anasemwa vibaya asiambiwe, sio wote wana nia ya umbea au uchonganishi, wengine wanaokuambia kuwa unasemwa vibaya wanakutakia mema na kukuonea huruma Sky Eclat
Thanks ManUr right. It is called " Ghosting" . Ghosting is disappearance from a lover, friends or relatives without giving a prior notice.
It is characterised by not calling, never pick up their phones nor replying to their texts.
Do it mkuu
Hapana kakaMwanamke siku zote anajaribu kukuchonganisha na ndugu ili yeye ndio awe karibu.
Na uwe karibu na ndugu zake
Sure mkuuUndugu kazi sana ndg yangu. Na ukitaka kuwaridhisha binadam itakubidi uwe muongo na mnafiki. Ila ukitaka kumridhisha Mungu kuwa mkweli na simamia hiyo misimamo yako.
Dah....Acha ujinga bana....kapime ngoma....ukiwa poa kula maisha....ukikutwa jipange....Kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wako[emoji41]Habari wakuu
Baada ya wazaz wetu kufariki na nyumba kukosa wa kuingalia ikabidi bro wangu ahamie pale yeye na mke wake japo namimi nnaishi umbali mdogo kutoka hapo hom jap sijaoa.
Sasa mwezi uliopita alikuja binti mmoja kukaa pale hom ili asubiri mambo yake yakamilike asepe kwa kuwa tuna undugu nao japo wa mbali mbal,na kiukwel alitokea kunizoea na kunipenda sana(Hisia za mapenzi) kama mjuavyo upendo haujifichi japo mimi mpaka dakika hii sijawai mfanya chochote.
Sasa mda mchache baada ya binti kuzoena namimi alianza kunijulisha jinsi ambavo bro na mke wake wananisema kwa mabaya sana yani kila sifa mbaya ni yangu na story zingine za kutunga tunga wakati siku zote najitaidi niwe bora kwao
Binafsi nligundua wamehisi huyu dada kanipenda sana sasa wanajaribu kumwambia sifa zangu mbaya ili akate mazoea namimi kabisa,ila mara zote namwambia huyu dada kuwa sio kweli ajaribu kuchunguza hata yeye akihisi wako sawa basi poa.
Sasa Juzi kanambia tena amesikia akina bro wanazungumza issue moja kwamba Mimi nliwai kuwa na mahusiano na dada flan hapa mtaani kwetu(Namjua) ambae alifariki kama miezi sita imepita na inasemekana alifariki kwa HIV maana afya yake ilizorota sana.
Sasa mimi kiukweli tangu aanze kuniambia hayo yote nimekua siyatilii maanani na hata nkiwa na akina bro nacheka nao vizuri tu bila kuonesha kwamba nnajua kwamba wananichafua sana lakini la kufikia hatua hadi kunizushia kwamba nimeshadate na mtu aloathirika nahisi limeniuma sana na nlichoamua ni kuwa sitawaambia lolote lakini pia sitawasemesha wala kujibu salamu yao wote kuanzia
Bro,mke wake na huyu dada maana nayeye inaonekana kama tayari kashakua na hofu kubwa sana namimi,So ili nisiendelee kuumia zaidi ni bora nichukue huo uamuzi na mimi nikishakuchukia huwa sirudi nyuma hata niwe na shida ipi heri nife ndani.
Naombeni ushauri wakuu je niendelee na huu msimamo au?
Me sina ngoma kaka ningekua nishajuaDah....Acha ujinga bana....kapime ngoma....ukiwa poa kula maisha....ukikutwa jipange....Kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wako[emoji41]
Nimepiga chini nayeyeMmbea ni mtu anaesema kweli bila kutumwa. Binti ni mmbea. Asilimia kubwa ya wanaume hufa mapema kutokana na vihoro vinavyosababishwa na maneno au matendo ya wanawake zao.
Hapaswi kuyabeba maneno na kukuletea, kama anakupenda atakupambania hukohuko yanaposemwa hayo maneno tena bila ya wewe kujua. Anaekubebea akakuletea, shida hiyo.
Sahihi kabisa mkuuMzee baba wewe achana nao wote utafute pesa... ukizipata woote watasahau huo upuuzi wa hiv sijui kudanga wataanza kukuomba hela..
Hapo pesa ndo mchawi
Ndugi tusio na pesa huwa tunapata kila aina ya scandal....hadi mboga zikidokolewa home utaambiwa ni wewe..Sahihi kabisa mkuu
nadhan ndo revenge hasa nnayopaswa kuipigania kwa sasa
Dah....Sasa unapaparika kwa sababu ipi? [emoji44][emoji41][emoji848]Me sina ngoma kaka ningekua nishajua
ila ntaenda kupima pia maana maneno huwa yanaumba sana[emoji3]
Dah fresh aina noma lakinNdugi tusio na pesa huwa tunapata kila aina ya scandal....hadi mboga zikidokolewa home utaambiwa ni wewe..
Dawa ni kusaka pesa tu ili muongee lugha moja
Dah....Sasa unapaparika kwa sababu ipi? [emoji44][emoji41][emoji848]
Sio kila kitu ni cha kuandika kwenye social mediaHabari wakuu
Baada ya wazaz wetu kufariki na nyumba kukosa wa kuingalia ikabidi bro wangu ahamie pale yeye na mke wake japo namimi nnaishi umbali mdogo kutoka hapo hom jap sijaoa.
Sasa mwezi uliopita alikuja binti mmoja kukaa pale hom ili asubiri mambo yake yakamilike asepe kwa kuwa tuna undugu nao japo wa mbali mbal,na kiukwel alitokea kunizoea na kunipenda sana(Hisia za mapenzi) kama mjuavyo upendo haujifichi japo mimi mpaka dakika hii sijawai mfanya chochote.
Sasa mda mchache baada ya binti kuzoena namimi alianza kunijulisha jinsi ambavo bro na mke wake wananisema kwa mabaya sana yani kila sifa mbaya ni yangu na story zingine za kutunga tunga wakati siku zote najitaidi niwe bora kwao
Binafsi nligundua wamehisi huyu dada kanipenda sana sasa wanajaribu kumwambia sifa zangu mbaya ili akate mazoea namimi kabisa,ila mara zote namwambia huyu dada kuwa sio kweli ajaribu kuchunguza hata yeye akihisi wako sawa basi poa.
Sasa Juzi kanambia tena amesikia akina bro wanazungumza issue moja kwamba Mimi nliwai kuwa na mahusiano na dada flan hapa mtaani kwetu(Namjua) ambae alifariki kama miezi sita imepita na inasemekana alifariki kwa HIV maana afya yake ilizorota sana.
Sasa mimi kiukweli tangu aanze kuniambia hayo yote nimekua siyatilii maanani na hata nkiwa na akina bro nacheka nao vizuri tu bila kuonesha kwamba nnajua kwamba wananichafua sana lakini la kufikia hatua hadi kunizushia kwamba nimeshadate na mtu aloathirika nahisi limeniuma sana na nlichoamua ni kuwa sitawaambia lolote lakini pia sitawasemesha wala kujibu salamu yao wote kuanzia
Bro,mke wake na huyu dada maana nayeye inaonekana kama tayari kashakua na hofu kubwa sana namimi,So ili nisiendelee kuumia zaidi ni bora nichukue huo uamuzi na mimi nikishakuchukia huwa sirudi nyuma hata niwe na shida ipi heri nife ndani.
Naombeni ushauri wakuu je niendelee na huu msimamo au?
Dah...kama hauwanii nafasi yoyote ya kisiasa basi acha kupaparika dogo...furahia maisha tu 🤣 🤣Sio napaparika
kwanini wakae kunchafua kwa vitu vya uongo
Msimamo si tayari umeshaweka? ama mimi ndo sijaelewa vizuri!Habari wakuu