NImeamua kuwafungia wote

Naona umeamua kuruhusu mapenzi yakugombanishe na familia yenu...
 
Naona umeamua kuruhusu mapenzi yakugombanishe na familia yenu...
Sio mapenzi mkuu,nnachochukia kwanini waninenee ubaya ambao siufanyi na sijawakosea lolote mie niko busy na maisha yangu ila wao kila gape wanalopata ni kunizungumzia mimi kwa mabaya
 
Siku zote mkaa kimya na kujisugua roho ndani kwa ndani huku ukiongelea pembeni,ujue huyo mtu ni Mnafik
Mwanaume unatakiwa ufunguke sio unakalia mambo ya kijikoni jikoni[emoji1321]‍[emoji3603]
Mkuu hata nikifunguka sana ntamuingiza huyu dada mgeni matatizoni nani kitu ambacho ctaki kitokee
 
hauna akili nzuri wewe yan unataka kukatisha undugu na kaka ako sababu ya maneno ya kuambiwa na dem ambaye umejuana nae juzi tu?

Waite wote watatu kwa pamoja afu uwaulize usikie wanasemaje
Huko kutakua kusutana mkuu na huyu dada watamchukia
Mimi najua ni kweli kbsa wala hajajitungia sema kwa kuwa alikua na hisia flani namimi ndo maana ananiambia
 
Sio mapenzi mkuu,nnachochukia kwanini waninenee ubaya ambao siufanyi na sijawakosea lolote mie niko busy na maisha yangu ila wao kila gape wanalopata ni kunizungumzia mimi kwa mabaya
Kwanini umeishi nao kwa miaka yooote wasikunene kwa mabaya, leo umempeta mpenzi ambae ndio binti anaekuletea maneno yanayo wachonganisha....
Kwani wewe haujui ule msemo wa wahenga waliosema penzi kitovu cha uzembe...!!??
 
Sure mkuu hata wakati mzee kafariki
waliniuliza nani unataka aishi hapa?
nkawapendekeza wao ila now mie ndo wananiona kama wakuja hivi
 
Hii kesi imeanza muda hata kabla ya huyu binti hajaja sema now ndo nimekwazika zaidi hasa hatua waliofikia ya kuninenea et mimi nimedate hadi na waathirika
Kwanini umeishi nao kwa miaka yooote wasikunene kwa mabaya, leo umempeta mpenzi ambae ndio binti anaekuletea maneno yanayo wachonganisha....
Kwani wewe haujui ule msemo wa wahenga waliosema penzi kitovu cha uzembe...!!??
 
Me najua wazi hata kabla ya huyu dada hajaja bro wangu huwa ananichukia tu bila sababu na akamuambukiza na mke wake nasasa kila mgeni anaekuja wanamsimulia tu mabaya yangu ila kwa kuwa huyu dada tumekua nae close ndo maana nayapata vizuri
Undugu kazi sana ndg yangu. Na ukitaka kuwaridhisha binadam itakubidi uwe muongo na mnafiki. Ila ukitaka kumridhisha Mungu kuwa mkweli na simamia hiyo misimamo yako.
 
Mwanamke siku zote anajaribu kukuchonganisha na ndugu ili yeye ndio awe karibu.
Na uwe karibu na ndugu zake
 
Jiulize anakuambia ili iweje?
Angekua ana kumpenda angesisiza upime HIV na kama uko salama angekushauri uepukane na ngono zenye

Ni mengi tunayasikia lakini hatusemi. Kuchonganisha ndugu wa tumbo moja ni laana.

Kwahiyo kama MTU anasemwa vibaya asiambiwe, sio wote wana nia ya umbea au uchonganishi, wengine wanaokuambia kuwa unasemwa vibaya wanakutakia mema na kukuonea huruma Sky Eclat
 
Sijamwambia kwa kuwa najua watamchukia huyu dada na watajua yeye ndo kanambia

Kwo ili kuondokana na hayo nimeamua sitaki mazoea nao wote ili wajitafakari vizuri bila kumuathiri huyu dada maisha yake na wao

Kwa maelezo yako nimejiuliza kichwani kwann kwenye familia nyingi ndugu tunachukiana na kuchekeana kinafiki, sijui kuna pepo kwenye kila familia ambalo kazi take ni kuchonganisha ndugu Jonah Hex
 
Kwa maelezo yako nimejiuliza kichwani kwann kwenye familia nyingi ndugu tunachukiana na kuchekeana kinafiki, sijui kuna pepo kwenye kila familia ambalo kazi take ni kuchonganisha ndugu Jonah Hex
Dah yan dadangu acha tu
ila kwa kuwa inabidi iwe hivyo no way
Hata vikao vikikaliwa ninajua ni hulka yao tangu kitambo
 
Ur right. It is called " Ghosting" . Ghosting is disappearance from a lover, friends or relatives without giving a prior notice.

It is characterised by not calling, never pick up their phones nor replying to their texts.

Do it mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…