NImeamua kuwafungia wote

Haha sawa mkuu,ila hata ukitoa hili swala kuna mengi sana ambayo ananizungumzia kinyume kabisa hata sehemu zingine,sasa kwa kua inaonekana me nayeye chemistry zmegoma acha tu nifunge vioo mazima
Tutazikan bac
 
Haha sawa mkuu,ila hata ukitoa hili swala kuna mengi sana ambayo ananizungumzia kinyume kabisa hata sehemu zingine,sasa kwa kua inaonekana me nayeye chemistry zmegoma acha tu nifunge vioo mazima
Tutazikan bac
Kama sio broo wako mfungie vioo, msiwe kama watoto wakike nyie niwatoto wakiume inatakiwa muishi kiume
 
Sasa umeshaamua halafu unataka ushauri tena mkuu, nadhani huyo mgeni wa familia angefanya aliyojia aondoke tu,
Hayo ya kupendana na ndugu yako nayo ni matatizo tu...wanawake wote huwaoni?
 
Una kaa mbali kidogo afu bado una share nao umeme na maji? Kuna wireless connection nini...?
 
Sasa umeshaamua halafu unataka ushauri tena mkuu, nadhani huyo mgeni wa familia angefanya aliyojia aondoke tu,
Hayo ya kupendana na ndugu yako nayo ni matatizo tu...wanawake wote huwaoni?
Wala sina mpango nae,nando maana cjamfanya chochote mpaka sai
ila kwanini wamtumie kuonesha chuki zao kwangu hata kama ingekua namtaka
 
Kwani akusalimii?? Au wewe ndio unataka ukuze mambo mpaka mfikie hatua yakutosalimiana, ujiulizi kabla yahuyo bint kuja mlikuwa mnaishi je?
Tulikua tunaishi tu ivo ivo ila now ndo nmegundua kuwa kumbe wananchukia sana
 
Sidhani kama Kweli kaka yako anakuchukia ila inawezekana kashikiwa akili na mke wake , kazi unayo mkuu.
 
Sawa ni kihere here ila anachosema sio kwamba kajitungia na kwanini niendelee kumkenulia meno mtu anaenidis
Sikia bro,jifunze kupotezea info zisizo na mashiko. Kwani ukipata vvu ni hatari,au hujawahi kusikia masengenyo? Utanunia wangapi?mpotezee huyo anti ni mchonganishi sana hata rafiki zako atakugombanisha nao. Na usifikirie huko kwa kaka yako pia hajawapelekea maneno.
 
Kwa nini ukasirike kwa maneno ambayo unakili si kweli una uhakika gani kama huyo bibie apeleki maneno ya uwongo kwa huyo ndugu yako na mkewe.
 
Kwa kweli wanaume wanapungua kwa Kasi Sana wanabaki wavulana na wanawake ...lijitu limekuja from no where na lijitu linauelewa wa popompo linataka kuharibu msingi imara walilojenga marehemu kabla hawajaondoka ,kibaya Zaid lijitu limeshikizwa tu Kama bati ya Bibi yangu kule mwondochia ,na mpaparara nae anadai eti atakuwa kimya mpaka mdomo inuke Kama choo alilosomea DAB na kuchangia kuharibu muda na makaratasi ya nacte.DAB njoo ufuate mwezako huku kabla hajaribu.
 
Nyumbani kwetu huko mtoto wa kwanza au wa mwisho ndo warithi wa makazi.
Xa huyo bro wako naona yupo kwako halafu analeta ushost.
Anuway, punguza ukaribu naye ikiwezekana asijue ishu zako kabisa labda inawwza ikasaidia.
Huyo dem naye pia ifike wakati asepe tu hapo mi naona hana wema anaweza naye akawa anayakoroga coz hujui anawapa habari gani zakwako, akiondoka nawewe ukawakazia inaweza kuwa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…