Nimeamua kuwa member

Nimeamua kuwa member

Evelyn

New Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Jamani nimekuwa naperuzi jf km guest na niliijua jf kupitia kwa dada yangu mpendwa na tokea siku nimeiperuzi kwa mara ya kwanza nikajilaumu kwa nini sikuijua tokea zamani. Jamani jf ipo juu sana na leo nimeamua kuwa member rasmi. Nawasalimu wote.
 
Ingia tuu usihofu.ila vua nguo.......aaaah sory vua viatu.
 
Nasi tunakusalimu, karibu sana jamvini. Jisikie nyumbani kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom