Naona utukufu wa yesu umezidi hata wa aliyekuumba... Kazi kweli kweli...
Nimechoka kabisa.
SIjasema kumpenda Yesu ni kuwa na msongo, ila maelezo ya mwandishi yanaonyesha hivyo.
Na sijasema silent killer or free P ni kuwa cool.
Ulimwelewa vibaya mwandishi-walimushinda shetani kwa neno la ushuuda na damu ya mwana kondoo
Yesu ni mweza yoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote........amini ufanikiwe.....nisiapo jina la YESU.....natoka na machozi ya furaha.....nakumbuka mambo mengi magumu ambayo nimepitia mpaka leo nikawa mimi ambaye nipo nimepata kila kitu ambacho nimemuomba... nakupenda YESU.....
Kwa hiyo bado anakandamizwa au?Uwongo dhambi kuna umri ambao kama miundombinu yako kimaisha na commitment bado iko complicated ukimpokea huyu mkuu utakuwa unadanganya...wako wapendwa kibao tunabanana nao kwenye vibanda umiza ila wakienda 'baibo' wanatubu!
NIKIENDA KANISANI KESHOKUTWA NITAMUULIZA MKUU!Kwa hiyo bado anakandamizwa au?
Basi sawa.NIKIENDA KANISANI KESHOKUTWA NITAMUULIZA MKUU!
Wewe ulishampokea aliye juu?Basi sawa.
Duuh hiyo kali Mkuu.Wewe ulishampokea aliye juu?
Duuh hiyo kali Mkuu.
Najua Mkuu,lakini kumpokea alie juu,nafikiri mademu ndio hutupokea sisi kwa juu,sasa mimi mwanaume uniambie nimpokee alie juu daah hiyo ni balaa.Vipi wewe uliwahi kumpokea alie juu?Kwanini umesema hivyo mkuu,kwani hutaki ujumbe wa nyumba kumi peponi siku ukimaliza majukumu uliyopangiwa duniani?