Acha na vitu vya hovyo, waza mambo mengineNimeamua tu kuwa Malaya Playboy kutokana na hali ilivyo
Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee
Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda
Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu
Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa malaya yaani playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
Kila kitu fanya kwa faidi, na sio kwa mihemkoNimeamua tu kuwa Malaya Playboy kutokana na hali ilivyo
Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee
Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda
Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu
Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa malaya yaani playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
Unajikomoa mwenyewe maisha mafupi tulia utaakari maana unachokifanya ktakurudia mwenyewe siku moja fikiri marambiliNimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo
Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee
Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda
Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu
Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
Umeamua kuwa play boy! Ok safari njema.Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo