Nimeamua kutokuwa na mahusiano rasmi kutokana na hali ilivyo

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,615
Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo

Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee

Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda

Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu

Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
 
Nimeamua tu kuwa Malaya Playboy kutokana na hali ilivyo

Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa malaya yaani playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
Acha na vitu vya hovyo, waza mambo mengine
 
Kila kitu fanya kwa faidi, na sio kwa mihemko
 
Shukuru Mungu kwa kutendwa maana unapata nafasi nyingine nzuri zaidi,

badala ya kunawa mikono na maji yanayotililika unawaza kukutanisha kojoleo lako na mikojoleo mingine, angalia usipate matatizo ya kupumua ndani ya muda mfupi
 
Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo

Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee

Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda

Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu

Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
Unajikomoa mwenyewe maisha mafupi tulia utaakari maana unachokifanya ktakurudia mwenyewe siku moja fikiri marambili
 
Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo

Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee

Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda

Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu

Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
Umeamua kuwa play boy! Ok safari njema.
Wenzako ndio tunapona hicho kichaa sahivi.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom