Nimeamua kunywa pombe from now until morning

friends nilikuwa nimeomba tenda flani mkoani na nilitegemea nitapata but sikupata.ila Nina mke na watoto watatu nimerudi nyumbani chumba kiko rafu watoto rafu mke wangu naye
ananiona nimekasirika haulizi Nina nini huku hajui yaliyonikuta huko mkoani naye kanuna na kaamua kulala mi kichwa kinazunguka sioni wa kunipa MOYO so nikaamua kuhamia hapa bar naona naanza pata furaha BAADA ya hawa wadada kunipa MOYO bila kujua nimekwazwa na nini wakiwa wananiambia haya ni maisha tu braza one day utapata unachotaka nimewaona ni wa maana ZAIDI ya mke wangu na nimewanunulia bia za kutosha wanywe na Mimi nakunywa mpaka usiku narudi home kulala tu nikikuta mnuno uleule naenda lala na baamedi tutajua asubuhi yaliyopita kwa kuw mke wangu kashindwa kuniweka sawa so sina raha hapo home bora hapa bar.heri yenu wake zenu wanajua nafasi zao.good night mtauepuka ukimwi ila siye ambaye hatubembelezwi tunabembelezwa na mabaamedi sijui

kama salama yetu ipo
ananiona

Hebu tupe mrejesho wa jana, ulipiga over night stand,jana ulikuwa bwax mbaya yani man wangu😁😂
 
Mkeo ni mfalme njozi? Au yeye asinune maana hana button ya kununa? Na kwa nini usingetumia muda huo kucheza na watoto? Usisingizie mnuno...hao mabarmaid unawafata kwa tamaa zako tu
 
siku ukifunikwa na tani saba za udongo ndo utajua umuhimu wa kubembelezwa na maabamedi au utakapoanza kuhudhuria kuchukua dozi, we ukiona mkeo kakuchosha si bora utoe talaka au oa wa pili lkn sio staili ya kukaa bar na mabaamedi hao watoto ugtawaacha na hakuna wa kuwabembeleza
 
friends nilikuwa nimeomba tenda flani mkoani na nilitegemea nitapata but sikupata.ila Nina mke na watoto watatu nimerudi nyumbani chumba kiko rafu watoto rafu mke wangu naye
ananiona nimekasirika haulizi Nina nini huku hajui yaliyonikuta huko mkoani naye kanuna na kaamua kulala mi kichwa kinazunguka sioni wa kunipa MOYO so nikaamua kuhamia hapa bar naona naanza pata furaha BAADA ya hawa wadada kunipa MOYO bila kujua nimekwazwa na nini wakiwa wananiambia haya ni maisha tu braza one day utapata unachotaka nimewaona ni wa maana ZAIDI ya mke wangu na nimewanunulia bia za kutosha wanywe na Mimi nakunywa mpaka usiku narudi home kulala tu nikikuta mnuno uleule naenda lala na baamedi tutajua asubuhi yaliyopita kwa kuw mke wangu kashindwa kuniweka sawa so sina raha hapo home bora hapa bar.heri yenu wake zenu wanajua nafasi zao.good night mtauepuka ukimwi ila siye ambaye hatubembelezwi tunabembelezwa na mabaamedi sijui

kama salama yetu ipo
ananiona

mh pole sana atajirudi...
 
mwenyee nmemis kumbembelezwa but waifu hastuki mmewakumbuka malaya wangu wote wa kitambo na deko zao lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom