Nimeamua kumuacha mke wangu……………..!

Duuh mie mwenyewe nilidhani babu kamuacha bibi, nilitaka kuhoji wajukuu 2tajifunza nini kutoka kwake...., Anwy 2namtakia safari njema na akumbuke Maboga wakat wa kurudi.
Ndio nimeamu kumuacha asafiri kuwaona wazazi wake
 
Umemuacha mama umempa talaka au umemwacha akasalimie kisha arudi. Mwenzio kichwa changu kigumu kuelewa chepesi kusahau.
 

roho inaniambia umekuja mbio ili uchukue nafasi ya mama yetu. Watoto hatukutaki.
 
roho inaniambia umekuja mbio ili uchukue nafasi ya mama yetu. Watoto hatukutaki.


Mwanangu hujambo, haya vipi huko shule ya bweni unakosoma, kwani siku hizi mnaruhuisiwa kuperuzi mitandao, unajua nilikukataza kuchanganya masomo na mitandao. nitakuhamisha nikupeleka Bush kusiko na network. mimi na mama yako tunajinyima ili usome wewe unachezea mitandao. ni mwaka sasa hata sijamnunulia mama Ngina kitambaa cha Chirmen, Kriplin na Polista kwa ajili yako ili usome halafu unaleta mchezo.................... chunga sana..............LOL
 

kwanza nitumie hela ya tuisheni halafu maharage ya shule yashanichosha.
 
niliposoma heading halafu muanzilishi wa thread ni ww mtambuzi ,nikaenda direct paragraph ya mwisho yny hitimisho kwasababu nimeshakujulia usanii wako ww mtambuzi...:lol::lol::lol:
 
na mimi nitabaki nyumbani na wanangu Ngina, Ngano na Ngadu. Muombeeni mama yenu, wifi yenu au shemeji yenu safari njema……………………….LOL

Nilizani Ngabu

'afu we mzee siku hizi nikiona uzi wako nasoma mwisho kwanza...

Tunamuombea asafiri salama na arudi samala
 
Nilizani Ngabu

'afu we mzee siku hizi nikiona uzi wako nasoma mwisho kwanza...

Tunamuombea asafiri salama na arudi samala

Hebu ngoja niweke sawa haya mawani maana naona umeandika mcharazo, hata sijaelewa...............LOL
Sasa nitabadili staili ya uandishi wangu, najua nitawapata tu humu....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…