iviii hujioni unagundu,umechina,huna swaga au we mbaya????? kwanin kila siku wewe tu unatoswa wewe tu hupendwi wewe huyohuyoooo...why?inabidi ujiangalie vizur kwenye kioo uone kasoro yako kaka angu haiwezekani na sifa zote izo bado kila siku unalalamika mademu wanakutosa naamini lipotatizo ambalo wanawake wengi hawapendi kuwa na wewe hata siku moja...daaah i feel ur pain inakuaga vibaya sana kukataliwa tena pamoja na mbwembwe zote izo
huwa najua wewe ni mburula lakini nilikuwa sijajua kuwa ni kiasi hiki ujue!Umenifurahisha sana cherel na Drama unazoongea, cjutii kutoswa na wanawake wa kibongo kwan bnafsi nina historia nzuri sana ya kutoka na WANAWAKE ambao naweza kusema ni A-LISTERS na kingine mwanaume wa kweli mwenye VICHWA VIWILI vinavyofanya KAZI huwa aogopi kutoswa mara moja kwani naamin Unapotoswa ndio linakuwa somo la kuweza kujifunza wapi urekebishe na wapi uongeze hivyo cjutii na fahamu kwamba hawa WANAWAKE ni mimi ndiye ninaye WAMWAGA na c o wao kwani nilipanga nije nioe MWANAMKE WA KIBONGO ila kadri cku zinavyozidi kwenda nazidi kuwaona ni WASHAMBA na WANAMAMBO ya KISWAZI ambayo yanasababishwa na NJAA pia TAMAA iliyokithiri, ikishindkana itabidi nioe WAZUNGUkao Full Stop.
huwa najua wewe ni mburula lakini nilikuwa sijajua kuwa ni kiasi hiki ujue!
unashangaa nn? kipi hasa kimekushtua,?! w2 WAMBEYA utawajua tuu next
Sishangai bali na fedheheshwa na mwenendo wako, labda nikuulize, we ni mwanaume wau wa-kiume?
Unawezaje kutaka ngono kwa mfiwa?ikiwa bado anaomboleza?
Stori za uzinifu na kutaka kuonyesha maisha yako binafsi umeyaweka mbele sana.
Kila mwanamke akikuzingua unakuja kulia lia tu apa,last tym umeshindwa kumpa binti vocha ya tzs 500 uyo wakili wako unamlipa nini?
This tym around umetoswa unakuja kumponda uyo bint, "et ana elimu ndogo" we mwenye "kubwa" upo wapi?
Si ajabu unaishi kwa shemeji ako watu wameenda kazini ulieshindwa shule unaachwa ulinde nyumba, we unazugia et nakaa na wadogo zangu wameenda shule!
Haupo kwenye class ya sharobaro wala nini, we class yako ni bishororo