Lazima ulipie ili uoneshe kweli uamuzi wako umetoka moyoni. Ukiingia bure hutaweza kuwajibika ipasavyoSijawahi kujisikia ukiingia jeshi la ukombozi inabidi ulipe vinginevyo kina Garang na Savimbi wasingekuwa na askari; mtaliwa sana safari hii.
Chama
Gongo la mboto DSM
Hii kali kijiunga na jeshi la ukombozi mpaka ulipe?
Chama
Gongo la mboto DSM
full maelezo. thanx mkuu. huyu kamanda nina uhakika kayapata vizuri. saafi sana.
Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji.
Njoo sinza kijiweni Opposite na sheli inayopakana na BOA (Bank of Africa). Fuata barabara ndogo inayopita katikati ya maduka. Ofisi ya kata iko hatua 30 hivi toka barabarani. Kuna bendera kubwa na viongozi wapo muda wote!.. Pia utawakuta mafundi wanashona kombati nzuri bei ikiwa 50,000 -70,000 kulingana na ubora wa kitambaa. Kadi zetu ni sh. 1500/= (kiingilio -500 na ada ya mwaka mmoja 1000). Passport size moja ni muhimu sana. Unaweza kulipa ada hata ya miaka sita mpaka 15. Kama una kadi au Tshirt za magamba au bi mkubwa uje nazo!.. KARIBU SANA TUMNG'OE NDULI!....
Mkuu mwenzetu wewe mchaga wa wap?Kwanza tunataka kukufahamu km wa KIBOSHO MACHAME AU MARANGU NK.
Bado wewe unaendelea na propaganda hizo za miaka ya 1920?Mkuu mwenzetu wewe mchaga wa wap?Kwanza tunataka kukufahamu km wa KIBOSHO MACHAME AU MARANGU NK.
Mimi ni Mhehe original kabisa, najali Tanzania yetu na si kabila. Nadhani wewe utakuwa na shida fulani kichwani ama umagwanda umekuathiri sana, kuzungumzia ukabila katila zama hizi?
Mkuu mwenzetu wewe mchaga wa wap?Kwanza tunataka kukufahamu km wa KIBOSHO MACHAME AU MARANGU NK.
hii kali kijiunga na jeshi la ukombozi mpaka ulipe?
Chama
gongo la mboto dsm
Jamani na mimi wa mabibo je ofisi za cdm ziko wapi nikajiunge leoleo!!!
Nimechoka kuwa mpiga debe wa M4C sasa nataka nijiunge na jeshi la M4C (CDM). Ninaishi Kijitonyama, Je ufisi za karibu za CDM ziko wapi, nahitaji kuchukua kadi yangu rasmi. Na natoa wito kwa wengine wote wapiga debe sasa tufanye kwa vitendo zaidi. NAOMBA WADAU MNIFAHAMISHE OFISI YA CDM ILIYO KARIBU NA KIJITONYAMA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
chama habari. Membership card 1000, ada mwaka 1000. Combati na buti ni hiyari ya mwanachama. Karibu chadema rafiki. Time is now.