Nimeamua kujiunga na CHADEMA

Karibu sana Kamanda, kila la heri ktk mapambano dhidi ya uhuni wa CCM.
 
Haya weeeee ! Mbona ulipoteza muda wako siku zote ? Hata hivyo karibu sana ila utambue kwamba huku tunajitolea , hakuna 7000 wala vyeo vya magumashi , kuna kijana anaitwa Betlehem alikuja mikono nyuma lakini baada ya kushindwa kupata alichotaka aliondoka bila kuaga , hata wewe tutakuchunguza.
 
Huko hakuna kanga, wala malori ya kusomba watu, ni kazi tu kwa kwenda mbele!
 
uamuzi wa busara karibu kwenye ukombozi CHADEMA kwa pamoja tutaijenga nchi yetu .UKAWA NI SUMU YA KUISAMBARATISHA SEREKALI YA CCM MADARAKANI 2015
 
kama huna uwezo wa kunywa viroba vya konyagi bado uwezi kua mwanachama pia kwa kukusaidia uwe na sifa ya kujua cheza muzik na kuzikabili santuri za dj mbowe
Hizo ni sifa za kuwa mwanachama wa chama cha wapuuzi ccm
 
Poooowwweeeeerrrrrr 😛eace: Karibu sana...kuanzia sasa jina lako ni kamanda...karibu kamanda..mimi mwenyewe ni kamanda wa chadema najivunia chama changu na nchi yangu...bila kusahau umoja wetu wa UKAWA! !!!
 
Hongera ndugu hila ungesubiri kwanza ujue kama huko uliko watakuwepo baada ya kugawana majimbo uenda ukaangukia upande wa NCCR au CUF. Sasa sijui utaitetea vipi katiba ya CDM chini ya uongozi wa NCCR au CUF maana kuna kupeana vipa umbele kwa wenye chances kubwa demographically.

I hope uishi Mtwara kule ni CUF tu kwa UKAWA.
 
kaza nako lako la kulia kaza jisuli hapa hatutak mlegev wa mwil wala akili mana watu wa aina hi wak kwa kichaa nauye.
 

mbona ulikuwa huko kitambo sana
 

Ukifukuzwa usisahau kutujulisha pia kamanda.
 
Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…