Nimeamua kujiunga na CCM

sidhani kama hawa jamaa yaani watawala hasa kwa huku bara wanania ya kuliendeleza taifa, maana ni kulumbana tuu na kutafuta kujisafii tuu huku tuumiao ni sisi wadogo huku chini. Kaka TUMAINI LETU wewe elekea au njoo popote pale ila uwe na lengo la kuendeleza nchi yako na si kwenda huko kulijaza tumbo tuu, kumbuka BENKI YA MJINGA NI TUMBO.
 
Sijaona sababu ya kuoveride kwanini CCM isitoke madarakani. Bora tuwe na dikteta kama Mbowe kuliko rais anachekacheka na kulalamika kama raia!
 
Mtu akiamua kufanya jambo la aibu kama hilo alafu akajitangaza si wa kumcheka,mtu huyo atakuwa na matatizo makubwa ya akili.Ni vema kumkamata na kumpeleka kwa mabingwa wa magonjwa ya akili.
 
safari njema... nenda kazibe pengo la shk yahya!
 
Kikwete hajaruhusu chochote zaidi ya kukubali kusoma alama za nyakati!
Na ndio maana nchi nyingine hakuna utulivu kwa sababu ya viongozi kukata kukosolewa! Au ulitaka tuwe tunakimbizana na Polisi kila kukicha kama jirani zetu huko kwa kina Besigye? :A S 103:
 
Sijaona sababu ya kuoveride kwanini CCM isitoke madarakani. Bora tuwe na dikteta kama Mbowe kuliko rais anachekacheka na kulalamika kama raia!

Una ndoto nzuri sana lakini haitatimia. Once a DJ always a DJ!
 

Na hiyo ni kwa sababu ya kuwa na Rais ambaye ni muumini wa misingi ya utawala bora na uhuru wa kutoa maoni. Waulize hao wengine kama hiyo katiba wamewahi kuigusa toka siku walipoapishwa! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe.
 
Heri wenye kuishi siku chache ukafa kuliko kuishi siku nyingi ukilazimishwa kufanywa usilolitaka, najua hukutaka wewe bali umetumwa kuwatangazia wengine ili wafikiri, umeliwa
 
Viwavi jeshi wako kazini hao great thinkers wapotezeeni tu njaa yao inawasumbua
 

Unaishi kwa maneno ya kusikia mpaka lini? Nenda Burundi ukajionee yaliyopo halafu ukirudi nina hakika hutataka kuingia humu JF. Changanya na za kwako baba!
 
Big up mkuu,umejitahidi kumuelimisha huyu bwana, cjui kiwango chake cha elimu bt somo ulilo mpa linatosha,kwa kumuongezea akasome katiba ibara ya 18.
 

Siyo kujiunga CCM tu hata ukiamua kunywa sumu sawa tu kwani una faida gani hapa duniani?
 
unajiunga mara ngapi?maana tangu enzi hizo kama huna kadi ya ccm ulikua hupati sukari,sabuni,kanga,betri kupitia RTC!Wenzako wa airtel wanasema HAMIA HUKU wewe waenda kwenye kikobe!lol huna aibu
 
Pitia magomeni uchukue majini angalau mawili yakulinde huko uendako safari yako hutafika laumu uelewa wako mdogo tunacheleweshwa na watu kama nyie.
 
Sawa, hongera kwa mawazo yako. Nadhani unatania. Kaulize Makatibu wakuu, na hata wakurugenzi ambao hawatekelezi maagizo yake, hasa yanayopingana na sheria kama wanapumua. Uliza Komba wa Maliasili kaishia wapi? Kama anaamini katika maoni ya watu, uliza aliwafanyia nini wale ambao hawakuwa katika mtandao wake?
NI kweli ccm ni nzuri katika kimaandishi.
 
jamani naomba apewe nafasi ya kutoa mawazo yake ili akapambane na tatizo la magamba,mgawo wa umeme,ili alipwe kofia na t.shirt pamoja na lesso
aah.......................................................................mawazo yake
acha ushamba wako kaka.tafakari....................................
//////////////////////////////////////
...................................tanzania bila ccm inawezekana usipotoshe umma.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…