Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,396
- 11,580
"kwanza kufirwa mtu yeyote ni kutiwa mkosi, pili hata ukifa msalimie Lucifa Kuzimu"Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 35. Kwetu nimezaliwa peke yangu. Nilipokuwa na miaka mitano mama yangu mzazi alifariki.
Nyumbani tukabaki mimi na baba tu, baada ya muda kidogo baba alianza tabia ya kunilawiti kila siku, mwanzoni niliumia sana lakini baadae nilifurahia hali hiyo na nilikuwa saa zingine nakumbushia mwenyewe kutokana na kuwa na muwasho ambao nikifanya natulia.
Hali hiyo imepelekea mimi kuwa shoga. Ninachukiwa sana hapa mtaani na watu kwa sababu ya ushoga wangu, nimenusurika kuuawa mara mbili kwasababu hiyo. Hakuna sehemu ninayopendwa, nimekata shauri kujimaliza usiku huu wa leo.
Nimeshanunua sumu ya panya ili kutimiza hilo na naandika huu ujumbe nikiwa guest house moja hivi maeneo ya DSM.
Nawaomba msamaha wale wote niliowakosea humu ndani hasa tatty, kwaherini wapendwa wote, tutaonana ahera.
Kwaherini nyote.
Hee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihi
Nashukuru kuna mdau mmoja hapo juu aliweka kumbukumbu sahihiIlikuwaga Songea hiyo
Alikuwa online 11.50am
Kwa hiyo hakuchukua Maamuzi mabaya .
Na hii topic alitoa November 15.
naona wamemtia moyo kagoma kufaThe wackal
Senior Member
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:
Jul 1, 2011
Messages:57
Likes Received:10
Trophy Points:8
The wackal was last seen:
42 minutes ago
huu uzi toka Nov. 16.2015
bado hujafa unachungulia uzi wako kimya kimya au ndio ulikua unajitangazi soko humu?
naona wamemtia moyo kagoma kufa
Nadhani ni hivyona wale member washammamania huko PM
Nahis comp. Inmedanganya labdaThe wackal
Senior Member
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:
Jul 1, 2011
Messages:57
Likes Received:10
Trophy Points:8
The wackal was last seen:
42 minutes ago
huu uzi toka Nov. 16.2015
bado hujafa unachungulia uzi wako kimya kimya au ndio ulikua unajitangazi soko humu?
Naomba nitoe ufafanuzi; Huu uzi niliuweka mwaka jana Nov 16, nikiwa frustrated sana, nashukuru Mungu, kuna wana JF walinifuata inbox baada ya uzi huu, na mmoja wao alinisaidia sana, na hadi hivi sasa naendelea na sessions za kuonana na pyschologist kama nilivyoelezea kwenye thread yangu ya shukrani kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/threads/shukrani-zangu-za-dhati-kwa-wanajf-kuniokoa-na-kifo.1006552/The wackal
Senior Member
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:
Jul 1, 2011
Messages:57
Likes Received:10
Trophy Points:8
The wackal was last seen:
42 minutes ago
huu uzi toka Nov. 16.2015
bado hujafa unachungulia uzi wako kimya kimya au ndio ulikua unajitangazi soko humu?
Ahsante sana mkuu, Mwenyezi Mungu akubariki sana!!"kwanza kufirwa mtu yeyote ni kutiwa mkosi, pili hata ukifa msalimie Lucifa Kuzimu"
Mbona alishatoa mrejesho jjamanianajitangiazia soko kama kuna member wa mambo hayo amuibukie private
Achana nao mkuuNaomba nitoe ufafanuzi; Huu uzi niliuweka mwaka jana Nov 16, nikiwa frustrated sana, nashukuru Mungu, kuna wana JF walinifuata inbox baada ya uzi huu, na mmoja wao alinisaidia sana, na hadi hivi sasa naendelea na sessions za kuonana na pyschologist kama nilivyoelezea kwenye thread yangu ya shukrani kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/threads/shukrani-zangu-za-dhati-kwa-wanajf-kuniokoa-na-kifo.1006552/
Moderators awali waliufuta huu uzi, lakini waliurudisha baada ya mimi kuweka uzi wa shukrani kwa ajili ya reference, na hivyo kuonekana kama vile ni uzi mpya kumbe ni wa siku nyingi.
Ahsanteni wote pia kwa kejeli zenu, zinanipa mafunzo na nfuvu zaidi ya kusonga mbele
Tee Bag
"Wabarikini watakaowatukana",jibu lako limenifanya niikumbuke hiyo mistari hapo ya kwenye Bible na nimejifunza kitu hapa,safi sana kaka..na pole kwa matatizo uliyopitia.Ahsante sana mkuu, Mwenyezi Mungu akubariki sana!!
Ulishawah kwend kwa Dr kuangalia kma ana ushauri wwte au namna yyte y kuwez kukusaidia?
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 35. Kwetu nimezaliwa peke yangu. Nilipokuwa na miaka mitano mama yangu mzazi alifariki.
Nyumbani tukabaki mimi na baba tu, baada ya muda kidogo baba alianza tabia ya kunilawiti kila siku, mwanzoni niliumia sana lakini baadae nilifurahia hali hiyo na nilikuwa saa zingine nakumbushia mwenyewe kutokana na kuwa na muwasho ambao nikifanya natulia.
Hali hiyo imepelekea mimi kuwa shoga. Ninachukiwa sana hapa mtaani na watu kwa sababu ya ushoga wangu, nimenusurika kuuawa mara mbili kwasababu hiyo. Hakuna sehemu ninayopendwa, nimekata shauri kujimaliza usiku huu wa leo.
Nimeshanunua sumu ya panya ili kutimiza hilo na naandika huu ujumbe nikiwa guest house moja hivi maeneo ya DSM.
Nawaomba msamaha wale wote niliowakosea humu ndani hasa tatty, kwaherini wapendwa wote, tutaonana ahera.
Ndugu Marehe The wackal,
Kwaherini nyote.