sellonlatbox
Member
- Jul 10, 2012
- 57
- 18
code:Mkuu, kwenye control ya umri unaweza kuiweka hivi.
if age >=18:
print "Umri sahihi"
print age
print "Karibu ndugu %s, \numri wako ni miaka %s. \nEndelea na maelekezo yanayofuata. " %(name, age)
choice=int(raw_input("Kumuona daktari bingwa andika 1, \nKumuona dakatari wa kawaida andika 2 \n(1 au 2?)"))
if choice ==1:
print "gharama za daktari bingwa ni Tsh ....."
else:
print "gharama za daktari wa kawaida ni ....."
else:
print "Samahani, huduma hii ni kwa wenye umri zaidi ya miaka 18:"
Maelezo:
1. Tuanzie hapa, else block inakuwa executed kama if block ni false. Hivyo true statements zote tuziweke kwenye if block, hivyo ikiwa umri ni sawa au zaidi ya 18 mteja apewe maelezo yote yanayotakiwa, ila kama umri utakuwa chini ya miaka 18 basi mteja aambiwe samahani.
2. \n ni kwa ajili ya new line.
Naamini izo code nilizo kuandikia nitakuwa nimekusaidia kama utakua na swali karibuMkuu, kwenye control ya umri unaweza kuiweka hivi.
if age >=18:
print "Umri sahihi"
print age
print "Karibu ndugu %s, \numri wako ni miaka %s. \nEndelea na maelekezo yanayofuata. " %(name, age)
choice=int(raw_input("Kumuona daktari bingwa andika 1, \nKumuona dakatari wa kawaida andika 2 \n(1 au 2?)"))
if choice ==1:
print "gharama za daktari bingwa ni Tsh ....."
else:
print "gharama za daktari wa kawaida ni ....."
else:
print "Samahani, huduma hii ni kwa wenye umri zaidi ya miaka 18:"
Maelezo:
1. Tuanzie hapa, else block inakuwa executed kama if block ni false. Hivyo true statements zote tuziweke kwenye if block, hivyo ikiwa umri ni sawa au zaidi ya 18 mteja apewe maelezo yote yanayotakiwa, ila kama umri utakuwa chini ya miaka 18 basi mteja aambiwe samahani.
2. \n ni kwa ajili ya new line.
Na course ya free ni ipikwa upande wangu naona njia rahisi kujifunza iyo kitu sio codeacademy wala freecodecamp pekee.
anyways inategemea na mtu. jaribu kuchukua material(videos) toka lynda,udemy au corsera.. hii itakufanya elewe vizuri na usisahau kama ulivoandika hyapo juu kwamba ushasahau html.
vile vile jaribu kuchukua vitabu mbalimbali ..kuna python book collection kama uko interested naeza ukupatia...
kwa upande wa IDE nakushauri utumie pycharm ya jetbrains au kama bando sio tatizo tumia IDE ya CS50.(ni nzuri sana)
kama unahitaji cheti..unasubscribe tu kwene hizo sites kwa gharama tajwa(inatofautiana), ila siku hizi kila kitu kipo torrents.. unaeza kupakua na ukatumiaNa course ya free ni ipi
Pia hata rodeo IDE ni nzuri sana kama unafanya vyote ni multipurpose kwa programming na data analysis ina display graph hapo hapo kama rstudio ya r software.Edited;
kwa uelewa wangu mdogo naona njia rahisi kujifunza iyo kitu sio codeacademy wala freecodecamp pekee.
anyways inategemea na mtu. jaribu kuchukua material(videos) toka lynda,udemy au coursera.. hii itakufanya elewe vizuri na usisahau kama ulivoandika hyapo juu kwamba ushasahau html.
vile vile jaribu kuchukua vitabu mbalimbali ..kuna python book collection kama uko interested naeza ukupatia...
vile vile nakushauri ujifunze algorithms(individually)[ ipo (coursera) maana naamini haijarishi language gani umesoma, ina msaada mkubwa.
ukikomaa hapo, ukaielewa python vizuri, machine language itakuwa nyepesi
kwa upande wa IDE nakushauri utumie pycharm ya jetbrains au kama bando sio tatizo tumia IDE ya CS50.(ni nzuri sana)
hujakosea hiyo ni good business idea ila wabongo kuwauzia software ngumu sana kutokana na nature ya akili za kimasikini sana na kupenda vya bure.Mtoa mada, mie sina utaalam wa mambo ya telnolojia (IT) ila naona hapa watu wamelidaka wazo lako la kutengeneza hiyo programu unayotaka kuiandaa kwa ajili ya hospitali na hapa wanalifanyia kazi chini chini ili wauze kwenye hospitali.
Ila naweza kuwa nimewaza vibaya pengine hakuna aliyewaza kukuibia wazo lako na kwenda kulifanyia kazi badala ya kukusaidia.
Kila ka kheri.
Yani kaka kama ningekuwa na uwezo ningekupa likes kama ishini hivi...wabongo wanapenda sana bure aisee...hawathamini kabisa efforts za mtuhujakosea hiyo ni good business idea ila wabongo kuwauzia software ngumu sana kutokana na nature ya akili za kimasikini sana na kupenda vya bure.
Dah, tulishaanzisha forum special ya Bongo ila kuna muskheli ukatokea (ushirikiano wa kibongo shida). Hopeful itarudi permanently kabla ya mwaka huu kuisha, with or without same domain.
technocrats.co.tzooh, ilikuwa inaitwaje? That'll be good, kwasababu i doubt kama tuna any tech related forum in Tz.
kuitumia....Je baada ya kumaliza kusoma python naweza kuendelea na nn?
Exactlykuitumia....
from datetime import datetime
date=datetime.now().strftime("%d-%m-%y %H:%M:%S")
print "KARIBU JF HEALTH CENTRE PATIENT'S DATABASE> Leo ni tarehe %s" %(date)
name=raw_input("Jina la kwanza la Mgonjwa:")
sir_name=raw_input("Jina la ukoo la Mgonjwa")
print "Umri:"
age=input()
age=float(age)
print "Uzito(kg):"
weight=input()
weight=float(weight)
print "Urefu(metre):"
height=input()
height=float(height)
bmi= weight/(height**2)
if bmi<30:
print "Ndugu %s %s, mwenye umri wa miaka %s,ana uzito sahihi kulingana na urefu" %(name,sir_name,age)
if bmi>30:
print "Ndugu %s %s, mwenye umri wa miaka %s,ana tatizo la ongezeko la uzito wa mwili(OVERWEIGHT)" %(name,sir_name,age)
def doctor(grade):
if grade=="specialist":
return 30000
if grade=="gp":
return 10000
def examination(exam):
if exam=="general":
return 50000
if exam=="full":
return 150000
def cost(grade,exam):
return doctor(grade)+ examination(exam)
grade=raw_input("Mgonjwa anataka kuonwa na 'specialist' au 'gp' ?")
exam=raw_input("Mgonjwa anataka kufanya 'general' au 'full' check up ?")
print "Jumla ya gharama ya matibabu ni shillingi za kitanzania %s" %cost(grade,exam)
Anza na machine learning Machine Learning | Coursera Machine learning coursera: Machine learning coursera - YouTubeKwa mwenye ujuzi na Artificial intelligence au anayefahamu free tutorial ya kujifunza naomba anisaidie
wazo lake sio jipya hakuna atayeweza iba labda kama ni mpya kwenye IT sisi tulifanya project ya hospital management system tukiwa mwaka wa pili chuo so ni vitu vya kawaida sana anavyotaka fanya.Mtoa mada, mie sina utaalam wa mambo ya telnolojia (IT) ila naona hapa watu wamelidaka wazo lako la kutengeneza hiyo programu unayotaka kuiandaa kwa ajili ya hospitali na hapa wanalifanyia kazi chini chini ili wauze kwenye hospitali.
Ila naweza kuwa nimewaza vibaya pengine hakuna aliyewaza kukuibia wazo lako na kwenda kulifanyia kazi badala ya kukusaidia.
Kila ka kheri.