Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

Status
Not open for further replies.
Usije ukajilipua tu kwa jina la allah, sijawahi ona mwislam msom kakumbatia dini, zaid ya wasoma juzuu wa la 7
Mimi nina muislamu na nmeisoma dini vizuri na naielwa mbona nachukua degree sasa hivi
Acha kuongea bila fact ww
 
Good. If you need to be perfect. Convert into CHRISTIANITY. Islam is for people who are not perfect..kama wanajilipua Iraq, Afghanistan na Somalia.plus Mali plus northern Nigeria. Nchi za kikristu ushasikia mtu kajilipua na kuua wanaeake na watoto ili awahi mabikra Mia ? This means the person who believes in such nonsense is not perfect.
Ungeyafikiria hayo kwa jicho la tatu sio hayo ya kuchagulia nyanya Ungekuwa ushaslimu , sasa sema ndo hivyo tena ulivyomezeshwa na kukaririshwa kama mtoto wa Nursery na ndio Ujinga wenu mkubwa ninyi WAKRISTO yaani hamna akili kabisa za kujiongeza kidogo tu kuujua ukweli.
 
Uislamu umezaliwa miaka Mia tano baada ya kristo kuja duniani na kifo chake sasa nani kaiga kwa mwingine

Hlf ktk biblia hakuna kitabu kama hicho acha kusikiliza maneno ya vijiweni wanakudanganya tafuta biblia usome mwenyewe
Hicho kitabu kipo nenda kasome hiyo dini yako mkuu acha kuburuzwa mtu mzima.
 
Wana bodi habari za usiku.

Mimi ni mkristo wa kuzaliwa na kubatizwa, mwaka 2000 nilipata kipaimara yangu kama taratibu za kanisa letu zilivyo.

Sitaki kuwachosha sana kuna mambo ambayo yamenivutia sana na kupelekea kuamini kuwa dini ya kiislam ni dini ya kweli. Mimi ni mzaliwa wa kaskazini tena kijijini haswa, nimezaliwa na mpaka naanza shule ya msingi na kumaliza elimu ya msingi nilikuwa sijui kama kuna uislamu duniani, nilipoanza form one ndiyo nikaanza kusikia kwenye kipindi cha dini kuwa kuna dini ya kiislamu, nimesoma mpaka namaliza chuo sikuweza kuamini kabisa kuwa waislamu nao ni wacha Mungu kama dini zingine.

Baada ya kutoka chuo nilipata mkataba wa kufundisha shule ya kiislamu form one na two (math) kwa mkataba wa miezi sita, shule hiyo walimu zaidi ya 90% tulikuwa wakristo na wanafunzi zaidi ya 75% walikuwa wakristo, walimu wa math tulikuwa wawili wote wakristo, mkataba wangu ulianza mwezi July lakini baada ya miezi 2 tulibadilishwa mimi nikaanza kufundisha form III – IV.

Baada ya kama miezi 3 BAKWATA(W) walianza kuhoji kwanini shule ni ya kiislamu lakini walimu wengi ni wakristo? Shehe wa (W) sitaki kumtaja maana mpaka sasa hajahama pale alituita ofisini kwake walimu wote na kutueleza madai ya BAKWATA lakini yeye akasema tufanye kazi bila tatizo na yupo tayari kututetea popote pale. Baada ya mkataba wangu kuisha Dec Shehe alinitaka niongeze mkataba pamoja na kuongezewa maslahi kitu ambacho sikutaka sababu lengo langu ilikuwa kupata mtaji wa kuanzia maisha na kujikita kwenye mambo mengine. Kwa heshima ya Shehe nilikubali kuendelea bila mkataba pindi wakipata mwalimu mwingine wa math mimi niondoke, nilikaa miezi 4 hatimaye mwalimu mwingine akapatikana lakini shehe akasema nisiondoke mpaka shule ikifungwa mwezi May. Muda wote huo nyumbani kwetu hawakujua nafanya nini sababu nilijua nikisema home mambo yatakuwa mengine kulingana na mtazamo wa home juu ya uislamu.

Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo. Nitatoa mifano michache,

1. Mhe Mwinyi amewahi kuzabwa kibao mbele za watu akasamehe.

2. Mzee JK kama siyo yeye mimi na jamaa zangu huku kijijini tusigepata hiyo elimu kidogo tulionayo sababu wazazi wetu ni mafukara sana.

3. Mzee JK wapinzani walimtukana sana lakini aliwaita Ikulu wakakaa, wakanywa na kuongea.

4. Mzee JK Maaskofu walimsema lakini kwenye harambee ndiyo alikuwa anaziendeshaa bila kujali maneno yoyote.

5. Mzee JK aliteua mpinzani ambaye ni mkristo kuwa mbunge.

6. Mzee JK alimsaidia mama mmoja kumpeleka mtoto wake India alipata ajali ya bodaboda, mama huyu anasema siku moja akiwa India JK alienda kumsalimia yeye pamoja na Watanzania wengine, mama huyu ni jirani yangu huku kijijini kwetu.

7. Mzee JK tukio lolote lilipotokea alikuwa mstari wa mbele bila kujali hadhi yake.

8. Mhe Buhari na Macky Sall wameamua kumwondoa Rais wa Gambia ambaye ni muislamu mwenzao baada ya kuona anataka kudhulumu haki ya wananchi.

9. Shehe Ponda amekuwa akitetea maslahi ya watu wote bila kujali rangi wala dini zao.

Hayo ni machache kati ya mengi, nikiangalia matendo ya wakristo wenzangu(Kagame, Nkurunziza, Mseveni, Kabila, Mugabe, Askofu Mokiwa, Mzee wa upako n.k) mpaka nakata tamaa kabisa kwa matendo yao. Kumbe dini ni matendo na siyo maneno.

Mtanisamehe kwa uandishi usio na mpangilio mzuri sababu mimi siyo mtaalamu wa fani hii. Pia huu ni mtazamo wangu binafsi

Nawasilisha jamani
Wewe ni hatari na Tanzania haikufai. Kwani Tanzania haina udini. Unatuletea mambo ya udini Ili tukusifu. Gaidi mkubwa wewe. Pole
 
Uislamu umezaliwa miaka Mia tano baada ya kristo kuja duniani na kifo chake sasa nani kaiga kwa mwingine

Hlf ktk biblia hakuna kitabu kama hicho acha kusikiliza maneno ya vijiweni wanakudanganya tafuta biblia usome mwenyewe
Hivi nikuulize swali biblia alipewa Nabii gani??? Maana :

Tourati alipewa Musa a.s

Zaburi alipewa Daudi a.s

Injiri alipewa Issa a.s na

Quran alipewa kipenzi cha Umma Muhammad (S. A. W).

NIJIBU TAFADHALI.
 
Uislamu umezaliwa miaka Mia tano baada ya kristo kuja duniani na kifo chake sasa nani kaiga kwa mwingine

Hlf ktk biblia hakuna kitabu kama hicho acha kusikiliza maneno ya vijiweni wanakudanganya tafuta biblia usome mwenyewe
Miaka Mia tano baada ya Kristo ndivyo ulivyokariri toka Shule, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Uislam ulikuwepo tangu enzi za Nabii Adam na Hawa. Wasome manabii wote walikuja na ujumbe gani ? Wote walikuja na Ujumbe ule ule HAPANA MOLA MWINGINE ISIPOKUWA MMOJA TU ALLAH NAE HANA MSHIRIKA , HAKUZAA WALA HAKUZALIWA.
 
Yesu akufundishe kweli nayo kweli itakuweka huru..!
 
Ndio tatizo la kwenda sehemu bila kuwa na YESU, TAYARI USHARUSHIWA MAJINI,HAUJITAMBUI ILA KWA MAOMBI UTAJITAMBUA

Hahahah unaandika kwa hasira kwel kwel, halafu unachokiandika uharo. Wewe unayetembea na huyo YESU mbona kila siku majanga.
 
Ungeyafikiria hayo kwa jicho la tatu sio hayo ya kuchagulia nyanya Ungekuwa ushaslimu , sasa sema ndo hivyo tena ulivyomezeshwa na kukaririshwa kama mtoto wa Nursery na ndio Ujinga wenu mkubwa ninyi WAKRISTO yaani hamna akili kabisa za kujiongeza kidogo tu kuujua ukweli.

Ila ndio ilivyo kwamba ukiwa upande huu unakua kama chizi vle. Kwanza wanaamini sana propaganda na kupenda miracle. Ndio maana wanapuliziwa dawa ya mbu na kinyweshwa dettol.
 
Kuujua ukwel umekua ugaidi tena.
Unajua maana ya ukweli au unaleta ukweli uwe kadiri ya mawazo yako. Ukweli sio subjective. Usituletee udini hapa. Na watu kama nyie sijui serikali inasubilia nini na mnaweka vitu public namna hii Ili kuleta chuki miongoni mwa wapendanao.
 
Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo.
Wana bodi habari za usiku.

Mimi ni mkristo wa kuzaliwa na kubatizwa, mwaka 2000 nilipata kipaimara yangu kama taratibu za kanisa letu zilivyo.

Sitaki kuwachosha sana kuna mambo ambayo yamenivutia sana na kupelekea kuamini kuwa dini ya kiislam ni dini ya kweli. Mimi ni mzaliwa wa kaskazini tena kijijini haswa, nimezaliwa na mpaka naanza shule ya msingi na kumaliza elimu ya msingi nilikuwa sijui kama kuna uislamu duniani, nilipoanza form one ndiyo nikaanza kusikia kwenye kipindi cha dini kuwa kuna dini ya kiislamu, nimesoma mpaka namaliza chuo sikuweza kuamini kabisa kuwa waislamu nao ni wacha Mungu kama dini zingine.

Baada ya kutoka chuo nilipata mkataba wa kufundisha shule ya kiislamu form one na two (math) kwa mkataba wa miezi sita, shule hiyo walimu zaidi ya 90% tulikuwa wakristo na wanafunzi zaidi ya 75% walikuwa wakristo, walimu wa math tulikuwa wawili wote wakristo, mkataba wangu ulianza mwezi July lakini baada ya miezi 2 tulibadilishwa mimi nikaanza kufundisha form III – IV.

Baada ya kama miezi 3 BAKWATA(W) walianza kuhoji kwanini shule ni ya kiislamu lakini walimu wengi ni wakristo? Shehe wa (W) sitaki kumtaja maana mpaka sasa hajahama pale alituita ofisini kwake walimu wote na kutueleza madai ya BAKWATA lakini yeye akasema tufanye kazi bila tatizo na yupo tayari kututetea popote pale. Baada ya mkataba wangu kuisha Dec Shehe alinitaka niongeze mkataba pamoja na kuongezewa maslahi kitu ambacho sikutaka sababu lengo langu ilikuwa kupata mtaji wa kuanzia maisha na kujikita kwenye mambo mengine. Kwa heshima ya Shehe nilikubali kuendelea bila mkataba pindi wakipata mwalimu mwingine wa math mimi niondoke, nilikaa miezi 4 hatimaye mwalimu mwingine akapatikana lakini shehe akasema nisiondoke mpaka shule ikifungwa mwezi May. Muda wote huo nyumbani kwetu hawakujua nafanya nini sababu nilijua nikisema home mambo yatakuwa mengine kulingana na mtazamo wa home juu ya uislamu.

Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo. Nitatoa mifano michache,

1. Mhe Mwinyi amewahi kuzabwa kibao mbele za watu akasamehe.

2. Mzee JK kama siyo yeye mimi na jamaa zangu huku kijijini tusigepata hiyo elimu kidogo tulionayo sababu wazazi wetu ni mafukara sana.

3. Mzee JK wapinzani walimtukana sana lakini aliwaita Ikulu wakakaa, wakanywa na kuongea.

4. Mzee JK Maaskofu walimsema lakini kwenye harambee ndiyo alikuwa anaziendeshaa bila kujali maneno yoyote.

5. Mzee JK aliteua mpinzani ambaye ni mkristo kuwa mbunge.

6. Mzee JK alimsaidia mama mmoja kumpeleka mtoto wake India alipata ajali ya bodaboda, mama huyu anasema siku moja akiwa India JK alienda kumsalimia yeye pamoja na Watanzania wengine, mama huyu ni jirani yangu huku kijijini kwetu.

7. Mzee JK tukio lolote lilipotokea alikuwa mstari wa mbele bila kujali hadhi yake.

8. Mhe Buhari na Macky Sall wameamua kumwondoa Rais wa Gambia ambaye ni muislamu mwenzao baada ya kuona anataka kudhulumu haki ya wananchi.

9. Shehe Ponda amekuwa akitetea maslahi ya watu wote bila kujali rangi wala dini zao.

Hayo ni machache kati ya mengi, nikiangalia matendo ya wakristo wenzangu(Kagame, Nkurunziza, Mseveni, Kabila, Mugabe, Askofu Mokiwa, Mzee wa upako n.k) mpaka nakata tamaa kabisa kwa matendo yao. Kumbe dini ni matendo na siyo maneno.

Mtanisamehe kwa uandishi usio na mpangilio mzuri sababu mimi siyo mtaalamu wa fani hii. Pia huu ni mtazamo wangu binafsi

Nawasilisha jamani
Umeandika kitu refu lakini sababu ulizotoa hapa haioneshi kwamba umeusoma uislamu. Kama hujabadili dini na kama kweli wewe ni mkristo au ulikuwa mkristo nakushauri usome uislamu, kwa kuanzia soma Quran na tafsiri yake. Pili waulize maswali wanazuoni wa kiislamu juu ya imani na nguzo za uislamu.

Kwa maelezo uliyoandika yamelenga watu na sio uislamu na zaidi aina hii ya kujieleza inakaribisha kuwapandisha "wakristo" mizuka.

Angalia hizi uone sababu zilizopelekea hawa watu waufuate uislamu.

[emoji23][emoji23][emoji23]kweli ninyi pipo mna drama,

We kama umebadili dini sema vitu vingine sio kusingizia eti mwinyi, eti jk, eti kagame kafanya hivi,

Huo wako ww ni uvivu wa kufikiri,
MARAIS WA KIISLAMU HUWEZI FANANISHA NA MARAISI Wa kkisto wew jk mwinyi..nk
 
Hii pumba iliyoongelewa ni ya kiwango cha flyovers niliposoma mahali mzee JK alijenga shule....... Nikaona nisipoteze muda na dish lililocheza
SAWA MKAPA AU MAGU si wanatengenezaa na kama akiongezaa shulee miaka yake hii mitano mim naahama munifungee jeraa maisha
 
Nyongeza, alshaabab wanawaua na kuwachinja waislamu wenzao Somalia
ISIS wanawaua waislamu wenzao Syria
Boko haram wanawaua waislamu wenzao Nigeria
WOTE HAO NI WEMA NA NDO WAMEKUSHAWISHI
KARIBU SANA KWENYE DINI YA HAKI, UKIUA UTAIONA MBINGU YA SABA NA BIKIRA KADHAA
Takbiiiiiir!
Hakuna msomali anaeuliwa na AL SHABABI balii walee jamaa ni professional wao wanachinja vibaraka wa UHURU ....
BOKO HARAMU si waislamu fuatilia historia yao vizuri.
ISS haoo ndio kabisa ilee ni team ya america imeandaliwa palee ifanyee michezo kichafuu tu iliuichafuee uslamu so kuwa kama msomii letee key point haswaa ..wapi waislamu wanakosea labda shekhe fulani kafanya hivii au vilee au anadhulumu kiti flanni tell like that ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom