Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

Status
Not open for further replies.
Mkuu Basi jina lako jipya tokana mada yako utakuwa unaitwa KATESHI
 
Wana bodi habari za usiku.

Mimi ni mkristo wa kuzaliwa na kubatizwa, mwaka 2000 nilipata kipaimara yangu kama taratibu za kanisa letu zilivyo.

Sitaki kuwachosha sana kuna mambo ambayo yamenivutia sana na kupelekea kuamini kuwa dini ya kiislam ni dini ya kweli. Mimi ni mzaliwa wa kaskazini tena kijijini haswa, nimezaliwa na mpaka naanza shule ya msingi na kumaliza elimu ya msingi nilikuwa sijui kama kuna uislamu duniani, nilipoanza form one ndiyo nikaanza kusikia kwenye kipindi cha dini kuwa kuna dini ya kiislamu, nimesoma mpaka namaliza chuo sikuweza kuamini kabisa kuwa waislamu nao ni wacha Mungu kama dini zingine.

Baada ya kutoka chuo nilipata mkataba wa kufundisha shule ya kiislamu form one na two (math) kwa mkataba wa miezi sita, shule hiyo walimu zaidi ya 90% tulikuwa wakristo na wanafunzi zaidi ya 75% walikuwa wakristo, walimu wa math tulikuwa wawili wote wakristo, mkataba wangu ulianza mwezi July lakini baada ya miezi 2 tulibadilishwa mimi nikaanza kufundisha form III – IV.

Baada ya kama miezi 3 BAKWATA(W) walianza kuhoji kwanini shule ni ya kiislamu lakini walimu wengi ni wakristo? Shehe wa (W) sitaki kumtaja maana mpaka sasa hajahama pale alituita ofisini kwake walimu wote na kutueleza madai ya BAKWATA lakini yeye akasema tufanye kazi bila tatizo na yupo tayari kututetea popote pale. Baada ya mkataba wangu kuisha Dec Shehe alinitaka niongeze mkataba pamoja na kuongezewa maslahi kitu ambacho sikutaka sababu lengo langu ilikuwa kupata mtaji wa kuanzia maisha na kujikita kwenye mambo mengine. Kwa heshima ya Shehe nilikubali kuendelea bila mkataba pindi wakipata mwalimu mwingine wa math mimi niondoke, nilikaa miezi 4 hatimaye mwalimu mwingine akapatikana lakini shehe akasema nisiondoke mpaka shule ikifungwa mwezi May. Muda wote huo nyumbani kwetu hawakujua nafanya nini sababu nilijua nikisema home mambo yatakuwa mengine kulingana na mtazamo wa home juu ya uislamu.

Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo. Nitatoa mifano michache,

1. Mhe Mwinyi amewahi kuzabwa kibao mbele za watu akasamehe.

2. Mzee JK kama siyo yeye mimi na jamaa zangu huku kijijini tusigepata hiyo elimu kidogo tulionayo sababu wazazi wetu ni mafukara sana.

3. Mzee JK wapinzani walimtukana sana lakini aliwaita Ikulu wakakaa, wakanywa na kuongea.

4. Mzee JK Maaskofu walimsema lakini kwenye harambee ndiyo alikuwa anaziendeshaa bila kujali maneno yoyote.

5. Mzee JK aliteua mpinzani ambaye ni mkristo kuwa mbunge.

6. Mzee JK alimsaidia mama mmoja kumpeleka mtoto wake India alipata ajali ya bodaboda, mama huyu anasema siku moja akiwa India JK alienda kumsalimia yeye pamoja na Watanzania wengine, mama huyu ni jirani yangu huku kijijini kwetu.

7. Mzee JK tukio lolote lilipotokea alikuwa mstari wa mbele bila kujali hadhi yake.

8. Mhe Buhari na Macky Sall wameamua kumwondoa Rais wa Gambia ambaye ni muislamu mwenzao baada ya kuona anataka kudhulumu haki ya wananchi.

9. Shehe Ponda amekuwa akitetea maslahi ya watu wote bila kujali rangi wala dini zao.


Hayo ni machache kati ya mengi, nikiangalia matendo ya wakristo wenzangu(Kagame, Nkurunziza, Mseveni, Kabila, Mugabe, Askofu Mokiwa, Mzee wa upako n.k) mpaka nakata tamaa kabisa kwa matendo yao. Kumbe dini ni matendo na siyo maneno.

Mtanisamehe kwa uandishi usio na mpangilio mzuri sababu mimi siyo mtaalamu wa fani hii. Pia huu ni mtazamo wangu binafsi


Nawasilisha jamani
Ni jambo zuri umefanya (mimi muislam, nitakuwa biased kidogo) ndio maana nimeanza kwa kupongeza!

Now back to business!
suala la kubadili dini, however much ningependa uwe muislam, lakini kuna tahadhali za msingi naomba uwe nazo!
  1. kubadili dini si jambo la mihemko, unahitaji kukaa kimya, kutafakari na kuyatazama maisha yako ndani ya dini mpya. ktk maeneo mengi mambo ya dini yamekuwa na ushindani na hivyo huwezi kupata muda mtulivu wa kupitia mafunzo yaliyo bora kama utakuwa unakurupa!
  2. kwa kutumia media na maneno ya watu, unaweza kupata taarifa nyingi zisizo sahihi juu ya uislam kwa kuwa coverage za uislam often huwa zile negative. kama unavyopata habari za Africa kutoka CNN au BBC ni zile za vita, njaa na vurugu, hakuna coverage nzuri za matukio ya kiislam/Africa kwa kuwa our communities sio zile zinazopendezwa na western media
  3. kulikoni kuja JF ku-announce kuwa umefall in love na uislam, kusanya vitabu vya tafsiri, tafuta mentors uielewe vema dini na umuombe Mungu akuongoze!
Mungu akufanyie wepesi na uwe muumini na mcha Mungu wa kweli, Inshallah!
 
Umemsifu JK Rais mstaafu alafu ukamsifu Sheikh Ponda..... Je Sheikh Ponda kafanywa nini baada ya misimamo yake??? Hauoni kwamba hapa unapingana na mmoja...
 
Ni jambo zuri umefanya (mimi muislam, nitakuwa biased kidogo) ndio maana nimeanza kwa kupongeza!

Now back to business!
suala la kubadili dini, however much ningependa uwe muislam, lakini kuna tahadhali za msingi naomba uwe nazo!
  1. kubadili dini si jambo la mihemko, unahitaji kukaa kimya, kutafakari na kuyatazama maisha yako ndani ya dini mpya. ktk maeneo mengi mambo ya dini yamekuwa na ushindani na hivyo huwezi kupata muda mtulivu wa kupitia mafunzo yaliyo bora kama utakuwa unakurupa!
  2. kwa kutumia media na maneno ya watu, unaweza kupata taarifa nyingi zisizo sahihi juu ya uislam kwa kuwa coverage za uislam often huwa zile negative. kama unavyopata habari za Africa kutoka CNN au BBC ni zile za vita, njaa na vurugu, hakuna coverage nzuri za matukio ya kiislam/Africa kwa kuwa our communities sio zile zinazopendezwa na western media
  3. kulikoni kuja JF ku-announce kuwa umefall in love na uislam, kusanya vitabu vya tafsiri, tafuta mentors uielewe vema dini na umuombe Mungu akuongoze!
Mungu akufanyie wepesi na uwe muumini na mcha Mungu wa kweli, Inshallah!
Ok mkuu
 
Maana yangu halisi ni
1, sipingi wewe kuhama dini.
2, hayo ulioandika hapo kuhusu eto kagame kafanya hivi, mwinyi kafanya hivi, jk kafanya hivi, sio hoja ya msingi kusema ww umeyatumia kuhama dini
3,zako ni drama


Ipo hivii, ukiongelea matendo tu ni uongo, kwan huoni yanayotelekezwa na ISIS, BOKO HARAM ,AL SHABAB n.k kwa kisingizio cha Jina la Mungu??

Hiv ulishuhudia clip ya pilot wa jordan akichomwa moto live, hiv ulishawah kuona clip ya wakristo waliochinjwa kwa jina na Allah .

My take: ulizoleta ww ni drama za kipuuz, upole ukarimu, kwa kawaida ni hisia na utashi binafsi wa mtu.

NOTE: HAIHITAJI KUWA MUISLAMU, MKRISTO, BANIANI,BUDHA wala ATHEIST eti ndio uwe na huruma, mpole, mkarimu au mtetezi wa haki za wanyonge
(hizo ni sifa ambazo zinategemea na utashi binafsi wa mtu)
Dah! mpaka leo kuna watu wanaamini isis na boko haram ni vikundi vya kiislam? Kweli tunatofautiana uelewa
 
Wana bodi habari za usiku.

Mimi ni mkristo wa kuzaliwa na kubatizwa, mwaka 2000 nilipata kipaimara yangu kama taratibu za kanisa letu zilivyo.

Sitaki kuwachosha sana kuna mambo ambayo yamenivutia sana na kupelekea kuamini kuwa dini ya kiislam ni dini ya kweli. Mimi ni mzaliwa wa kaskazini tena kijijini haswa, nimezaliwa na mpaka naanza shule ya msingi na kumaliza elimu ya msingi nilikuwa sijui kama kuna uislamu duniani, nilipoanza form one ndiyo nikaanza kusikia kwenye kipindi cha dini kuwa kuna dini ya kiislamu, nimesoma mpaka namaliza chuo sikuweza kuamini kabisa kuwa waislamu nao ni wacha Mungu kama dini zingine.

Baada ya kutoka chuo nilipata mkataba wa kufundisha shule ya kiislamu form one na two (math) kwa mkataba wa miezi sita, shule hiyo walimu zaidi ya 90% tulikuwa wakristo na wanafunzi zaidi ya 75% walikuwa wakristo, walimu wa math tulikuwa wawili wote wakristo, mkataba wangu ulianza mwezi July lakini baada ya miezi 2 tulibadilishwa mimi nikaanza kufundisha form III – IV.

Baada ya kama miezi 3 BAKWATA(W) walianza kuhoji kwanini shule ni ya kiislamu lakini walimu wengi ni wakristo? Shehe wa (W) sitaki kumtaja maana mpaka sasa hajahama pale alituita ofisini kwake walimu wote na kutueleza madai ya BAKWATA lakini yeye akasema tufanye kazi bila tatizo na yupo tayari kututetea popote pale. Baada ya mkataba wangu kuisha Dec Shehe alinitaka niongeze mkataba pamoja na kuongezewa maslahi kitu ambacho sikutaka sababu lengo langu ilikuwa kupata mtaji wa kuanzia maisha na kujikita kwenye mambo mengine. Kwa heshima ya Shehe nilikubali kuendelea bila mkataba pindi wakipata mwalimu mwingine wa math mimi niondoke, nilikaa miezi 4 hatimaye mwalimu mwingine akapatikana lakini shehe akasema nisiondoke mpaka shule ikifungwa mwezi May. Muda wote huo nyumbani kwetu hawakujua nafanya nini sababu nilijua nikisema home mambo yatakuwa mengine kulingana na mtazamo wa home juu ya uislamu.

Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo. Nitatoa mifano michache,

1. Mhe Mwinyi amewahi kuzabwa kibao mbele za watu akasamehe.

2. Mzee JK kama siyo yeye mimi na jamaa zangu huku kijijini tusigepata hiyo elimu kidogo tulionayo sababu wazazi wetu ni mafukara sana.

3. Mzee JK wapinzani walimtukana sana lakini aliwaita Ikulu wakakaa, wakanywa na kuongea.

4. Mzee JK Maaskofu walimsema lakini kwenye harambee ndiyo alikuwa anaziendeshaa bila kujali maneno yoyote.

5. Mzee JK aliteua mpinzani ambaye ni mkristo kuwa mbunge.

6. Mzee JK alimsaidia mama mmoja kumpeleka mtoto wake India alipata ajali ya bodaboda, mama huyu anasema siku moja akiwa India JK alienda kumsalimia yeye pamoja na Watanzania wengine, mama huyu ni jirani yangu huku kijijini kwetu.

7. Mzee JK tukio lolote lilipotokea alikuwa mstari wa mbele bila kujali hadhi yake.

8. Mhe Buhari na Macky Sall wameamua kumwondoa Rais wa Gambia ambaye ni muislamu mwenzao baada ya kuona anataka kudhulumu haki ya wananchi.

9. Shehe Ponda amekuwa akitetea maslahi ya watu wote bila kujali rangi wala dini zao.


Hayo ni machache kati ya mengi, nikiangalia matendo ya wakristo wenzangu(Kagame, Nkurunziza, Mseveni, Kabila, Mugabe, Askofu Mokiwa, Mzee wa upako n.k) mpaka nakata tamaa kabisa kwa matendo yao. Kumbe dini ni matendo na siyo maneno.

Mtanisamehe kwa uandishi usio na mpangilio mzuri sababu mimi siyo mtaalamu wa fani hii. Pia huu ni mtazamo wangu binafsi


Nawasilisha jamani
Bila shaka umetokea babati, hapo umetudanganya kuwa umetokea sehemu ambayo hakuna uislam. Ninavyojua babati waislam wapo long time.
 
Mkuu;
Nimekusoma vizuri sana. Ila, kubadili dini sio hoja. Dini ni kama shati nililovaa leo. Kesho, miye nalibadili kwa raha zangu tu. Umesema vizuri na sababu nzuri ukatoa. Matendo yao. Kote kote ndo uliyatumia kupimia. Tatizo hukutuambia ulikuwa unatenda nini wewe binafsi. Ulitenda haki tangu umeingia shuleni?? Ulikuwa kiongozi wa wakristo??
Uzuri niliokupendea ni kwamba, hukujiunga na IMANI ya kiislam. Umejiunga na dini tu. Tangu umezaliwa hujawahi kuamini chochote bali ulijiunga na dini ya baba na mama na ulipokwenda mbali na home ukakutana na dini ya shekhe wa BAKWATA akakulipa mshahara na maneno mazuri ya jinsi dini yao ilivyo nzuri (Japo hukutuambia).
Siku utakapokutana na imani ya kiislam ndo utatuambia. Sijui we ni me au ke lakini iwe iwavyo utatuambia pia. Usiache kuuleta mrejesho hapa. Kariib dini mpya ila hujaijua iman hii.
 
Ndio tatizo la kwenda sehemu bila kuwa na YESU, TAYARI USHARUSHIWA MAJINI,HAUJITAMBUI ILA KWA MAOMBI UTAJITAMBUA
Nadhani hata wewe dini hujui!
ni mfano mbaya sana wa kauli huu hasa most born again Christians mnautumia!
mimi ni muislam na often naheshimu RC na 7th Day Adventists kwa kuwa na Imani za kweli na kuwa na Mungu mwenye power hata kama siungani nao ktk Imani!
walokole wengi Mungu wenu yupo weak, unapaswa kumvaa utembee naye, hayupo kila sehemu na lazima awe na wakala. mfano nautoa hapa kwako: (kuwa mtu anaweza kutembea bila ya yesu (kwa nafsi ya uungu ktk Imani yenu), kumbe kuna eneo yesu hayupo, lakini ukiombewa na mchungaji xx (wakala wa Mungu) utampata, na hakusaidii mpaka uingie contract!!! sasa hii ndio Imani gani!
unlike other Christians, you just believe na jiombee mwenyewe then kila kitu kitakufuata,popote ulipo huna haja ya kutembea na kanisa au muhubiri!

nadhani ktk imani zote hii yako ya kuombewa au kukemewa na mtu xy itakuwa dhaifu Zaidi!
 
Wana bodi habari za usiku.

Mimi ni mkristo wa kuzaliwa na kubatizwa, mwaka 2000 nilipata kipaimara yangu kama taratibu za kanisa letu zilivyo.

Sitaki kuwachosha sana kuna mambo ambayo yamenivutia sana na kupelekea kuamini kuwa dini ya kiislam ni dini ya kweli. Mimi ni mzaliwa wa kaskazini tena kijijini haswa, nimezaliwa na mpaka naanza shule ya msingi na kumaliza elimu ya msingi nilikuwa sijui kama kuna uislamu duniani, nilipoanza form one ndiyo nikaanza kusikia kwenye kipindi cha dini kuwa kuna dini ya kiislamu, nimesoma mpaka namaliza chuo sikuweza kuamini kabisa kuwa waislamu nao ni wacha Mungu kama dini zingine.

Baada ya kutoka chuo nilipata mkataba wa kufundisha shule ya kiislamu form one na two (math) kwa mkataba wa miezi sita, shule hiyo walimu zaidi ya 90% tulikuwa wakristo na wanafunzi zaidi ya 75% walikuwa wakristo, walimu wa math tulikuwa wawili wote wakristo, mkataba wangu ulianza mwezi July lakini baada ya miezi 2 tulibadilishwa mimi nikaanza kufundisha form III – IV.

Baada ya kama miezi 3 BAKWATA(W) walianza kuhoji kwanini shule ni ya kiislamu lakini walimu wengi ni wakristo? Shehe wa (W) sitaki kumtaja maana mpaka sasa hajahama pale alituita ofisini kwake walimu wote na kutueleza madai ya BAKWATA lakini yeye akasema tufanye kazi bila tatizo na yupo tayari kututetea popote pale. Baada ya mkataba wangu kuisha Dec Shehe alinitaka niongeze mkataba pamoja na kuongezewa maslahi kitu ambacho sikutaka sababu lengo langu ilikuwa kupata mtaji wa kuanzia maisha na kujikita kwenye mambo mengine. Kwa heshima ya Shehe nilikubali kuendelea bila mkataba pindi wakipata mwalimu mwingine wa math mimi niondoke, nilikaa miezi 4 hatimaye mwalimu mwingine akapatikana lakini shehe akasema nisiondoke mpaka shule ikifungwa mwezi May. Muda wote huo nyumbani kwetu hawakujua nafanya nini sababu nilijua nikisema home mambo yatakuwa mengine kulingana na mtazamo wa home juu ya uislamu.

Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo. Nitatoa mifano michache,

1. Mhe Mwinyi amewahi kuzabwa kibao mbele za watu akasamehe.

2. Mzee JK kama siyo yeye mimi na jamaa zangu huku kijijini tusigepata hiyo elimu kidogo tulionayo sababu wazazi wetu ni mafukara sana.

3. Mzee JK wapinzani walimtukana sana lakini aliwaita Ikulu wakakaa, wakanywa na kuongea.

4. Mzee JK Maaskofu walimsema lakini kwenye harambee ndiyo alikuwa anaziendeshaa bila kujali maneno yoyote.

5. Mzee JK aliteua mpinzani ambaye ni mkristo kuwa mbunge.

6. Mzee JK alimsaidia mama mmoja kumpeleka mtoto wake India alipata ajali ya bodaboda, mama huyu anasema siku moja akiwa India JK alienda kumsalimia yeye pamoja na Watanzania wengine, mama huyu ni jirani yangu huku kijijini kwetu.

7. Mzee JK tukio lolote lilipotokea alikuwa mstari wa mbele bila kujali hadhi yake.

8. Mhe Buhari na Macky Sall wameamua kumwondoa Rais wa Gambia ambaye ni muislamu mwenzao baada ya kuona anataka kudhulumu haki ya wananchi.

9. Shehe Ponda amekuwa akitetea maslahi ya watu wote bila kujali rangi wala dini zao.


Hayo ni machache kati ya mengi, nikiangalia matendo ya wakristo wenzangu(Kagame, Nkurunziza, Mseveni, Kabila, Mugabe, Askofu Mokiwa, Mzee wa upako n.k) mpaka nakata tamaa kabisa kwa matendo yao. Kumbe dini ni matendo na siyo maneno.

Mtanisamehe kwa uandishi usio na mpangilio mzuri sababu mimi siyo mtaalamu wa fani hii. Pia huu ni mtazamo wangu binafsi


Nawasilisha jamani
Comments unazozipata hapa zinadhihirisha huko ulipotoka kuna waumini wenye tabia za aina gani....
Hustahili kufanyiwa kejeli kama hivi maana ni maamuzi yako baada ya kuuona ukweli katika imani.

Ninyi mnaomkejeli mlipaswa kwanza kuhuzunika kumpoteza muumini mwenzenu na walao mjaribu kumwonesha kwanini hakupaswa kuhama...badala yake mnamtukana...watu wa ajabu sana.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Maana yangu halisi ni
1, sipingi wewe kuhama dini.
2, hayo ulioandika hapo kuhusu eto kagame kafanya hivi, mwinyi kafanya hivi, jk kafanya hivi, sio hoja ya msingi kusema ww umeyatumia kuhama dini
3,zako ni drama


Ipo hivii, ukiongelea matendo tu ni uongo, kwan huoni yanayotelekezwa na ISIS, BOKO HARAM ,AL SHABAB n.k kwa kisingizio cha Jina la Mungu??

Hiv ulishuhudia clip ya pilot wa jordan akichomwa moto live, hiv ulishawah kuona clip ya wakristo waliochinjwa kwa jina na Allah .

My take: ulizoleta ww ni drama za kipuuz, upole ukarimu, kwa kawaida ni hisia na utashi binafsi wa mtu.

NOTE: HAIHITAJI KUWA MUISLAMU, MKRISTO, BANIANI,BUDHA wala ATHEIST eti ndio uwe na huruma, mpole, mkarimu au mtetezi wa haki za wanyonge
(hizo ni sifa ambazo zinategemea na utashi binafsi wa mtu)
Huyu mjamaa kwanza mm nimeshindwa kumwelewa jinsia yke hivi ni ME au KE?

Kasema ushauri mwingi alikuwa anaupata toka jwa Sheikh,,
Sasa hapo ndo wasi wasi wngu ulipo asije kuwa nyumba ndogo ya huyo Sheikh,,
Nadhani baada ya kukubaliana na ushauri wa huyo Sheikh wako hapakuwa na sabb ya wew kutuletea uzi wa kizembe kama huu humu ndani.
 
Mkuu;
Nimekusoma vizuri sana. Ila, kubadili dini sio hoja. Dini ni kama shati nililovaa leo. Kesho, miye nalibadili kwa raha zangu tu. Umesema vizuri na sababu nzuri ukatoa. Matendo yao. Kote kote ndo uliyatumia kupimia. Tatizo hukutuambia ulikuwa unatenda nini wewe binafsi. Ulitenda haki tangu umeingia shuleni?? Ulikuwa kiongozi wa wakristo??
Uzuri niliokupendea ni kwamba, hukujiunga na IMANI ya kiislam. Umejiunga na dini tu. Tangu umezaliwa hujawahi kuamini chochote bali ulijiunga na dini ya baba na mama na ulipokwenda mbali na home ukakutana na dini ya shekhe wa BAKWATA akakulipa mshahara na maneno mazuri ya jinsi dini yao ilivyo nzuri (Japo hukutuambia).
Siku utakapokutana na imani ya kiislam ndo utatuambia. Sijui we ni me au ke lakini iwe iwavyo utatuambia pia. Usiache kuuleta mrejesho hapa. Kariib dini mpya ila hujaijua iman hii.
Ngoja hakuyane na masharti ya kwamba akipaka manukato wakati wa mtoko ataungana na shetani motoni, akivaa nguo fupi, akiachwa nyele zake zionekane na wanaume, akivaa mavazi ya wanaume.... Tunamuomba awe ni muislamu wa matendo hasiwe muislamu jina.
 
Comments unazozipata hapa zinadhihirisha huko ulipotoka kuna waumini wenye tabia za aina gani....
Hustahili kufanyiwa kejeli kama hivi maana ni maamuzi yako baada ya kuuona ukweli katika imani.

Ninyi mnaomkejeli mlipaswa kwanza kuhuzunika kumpoteza muumini mwenzenu na walao mjaribu kumwonesha kwanini hakupaswa kuhama...badala yake mnamtukana...watu wa ajabu sana.
Ukihisi huzuni kumpoteza mtu mjinga mwenye maneno machafu km huyo basi una taahira.

Au umekurupuka tu bila kusoma comments zake? Huyo anafaa huko huko
 
hizo Ni personal, interests suala la kusema dini Fulani watu wake si wako Ni kejeli za waziwazi, huujui uzuri wala uovu wa jk, suala la mtu kutenda wema au ubaya linaweza lisihusiane Na imani yake, Kuna matukio mengi ya kinyama yanafanya Na watu WA dini Fulani Mfano kuwachinja wenzao n.k. Lakoni hatusemi Ni dini Yao ndo imewatuma.

mambo Kama haya umeyaamua mwenyewe hivyo si busara kuyaweka hapa huku kukiwa Na chembechembe za kashga, kumbuka kuwa suala la imani halina promotion and
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom