Nimeamini Walevi ndo wanao-ongoza kwa akili hapa duniani...

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Siku 1 Mlevi mmoja huko ughaibuni alimaindiwa sana na mkewe kwa kare katabia kake {mi mhaya} ka kulewa pombe na kuja amechelewa usiku, so wife akamwambia "leo ukichelewa sikufungulii mlango!!"
jamaa akasahau alichoambiwa na akarudi akiwa kachelewa..
Kufika mlangoni akajua akipiga hodi, atakuwa anapoteza muda, akilala nje, nuksi pia..
So akachekecha akili na akaamua kusema hivi huku akibisha hodi..
Mlevi : i have brought flowers for the beautiful lady...{mkewe alikuwa akipenda maua saaana}
Basi wife akafungua mlango na kusema,
MKe: where the heck r the flowers!?
Mlevi huku akiingia ndani "where's the beautiful lady???"lmao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom