evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,998
- 5,132
Habari
Kila siku huwa naona data inakimbia pasipo kufanya kitu mtandaon lakin Leo mida ya sa tano ndo nimewasha data,tu nikaingia insta kumchek mama Ummy na millard wanasemaje
Instagram, nimetumia 15.something Mb na WhatsApp kama 7. Mb, basi total yake ni 22MB lakini huwa natumia ile Phone master management inayooonesha matumizi mengine kama ya chaji na ikiwemo ya data, cha ajabu matumizi ya data inasoma 125 MB
Naambatanisha na picha kama ushahidi
Niseme ukwel voda nawakubali ila vifurushi wanatunyonya sana
cc vodacom Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from Quarantine