Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,157
- 14,120
- Thread starter
- #21
Duh!New York Ni Kama Kijiji flani hivi kwa majiji ya China.
Duh!New York Ni Kama Kijiji flani hivi kwa majiji ya China.
Taarifa mwenyekiti.......hiyo Hong Kong imejengwa kwanza na wazungu........harafu huwezi kufananisha ulaya na china........maana miji mingi ya ulaya au amerika ni ya kihistoria majumba mengi ya thamani ni ya miaka mingi tofauti na hii inchi ya Mao ambao hawana kipya zaidi ya ku copy and paste.......harafu ujiingize kwenye league ya ubunifu hapana kwa kweli...........
Apana kwa uchumi tuu marekani wapo vizuri sana tazama makampuni yao tuu yanavyokimbiza dunia: Google,Facebook, Microsoft, caterpillar, nvidia.... Space x. Hii space x imekuwa kampun ya ajabu haijapata tokea watakapoweza kufikia malengo ya kuweka starlink no one can touch them, huyo ndio Musk.Uchumi wa Marekani ni joke anyway
Ume rely kwenye ku print dollars na over inflalated stock market huku 1% percentage ya wamarekani waki own 90% ya total wealth
Pro U.S wengi wa Africa wana ile image ya Marekani iliyosukwa na Hollywood....Mpaka leo najiuliza kivipi Elon Musk ni tajiri namba moja duniani?
Developed vs DevelopingKama umefika Hong Kong na Shanghai na ukafika New York,Chicago na LA utaona kuwa mchina yupo mbali sana ya Marekani na Ulaya yake.
Kama copying and pasting rahisi mbona afrika wameshindwaTaarifa mwenyekiti.......hiyo Hong Kong imejengwa kwanza na wazungu........harafu huwezi kufananisha ulaya na china........maana miji mingi ya ulaya au amerika ni ya kihistoria majumba mengi ya thamani ni ya miaka mingi tofauti na hii inchi ya Mao ambao hawana kipya zaidi ya ku copy and paste.......harafu ujiingize kwenye league ya ubunifu hapana kwa kweli...........
Sasa hizi ndio nyumba zao halali ..........huko kwenye madubwasha mengine huwa wanazingua tu.............lakini hata wewe nikikwambia uchague makazi au mahala pa kwenda utakwenda china??Hii forbidden city imejengwa toka miaka ya 1400View attachment 3033976
Unafikiri China imeanza baada ya Mao wewe jamaa bwana, sasa kati ya China na hiyo miji ya ulaya nani ni mkongwe
Waambie waendelee kujenga huo ukuta ...........huku wamagharibi wanaunda range na ndio gari yako pendwa ............lakini ukiambiwa chagua pa kwenda kuishi utasikia Canada au usa 🇺🇸 kwanini usiende chinaNewyork hakuna cha jengo la kihistoria wala nini, wamepigwa gepu tu.
Wachina siyo kwamba hawakuwa na majengo ya kihistoria. Waliyavunjilia mbali na kuweka vitu vya kisasa. Hawataki blah blah za ukale japo historia yao ni tajiri mara 1000 kuliko hao wazungu.
Wakati Wachina wanajenga Ukuta kuzunguuka nchi yao nzima wenye urefu sawa na kutoka Cape Town hadi Cairo miaka zaidi ya 2000 iliyopita hao wazungu walikuwa na nini?
Wewe hacha hayo mambo yako ..........kama ni kuhusu historia hata tanzania tuna historia kuanzia dunia inaumbwa maana fuvu la mtu wa kale liligunduliwa olduvai George.........je inatusaidia nini sisi kama raia au nchi kwa ujumla ? ..........ukweli utabaki pale pale china sio nchi strong kupita usa 🇺🇸 ...........lile taifa kubwa ulimwenguni watu wachache na ndio wanao drive dunia yetu ..........wachina wako zaidi ya bilion moja na nusu na bado hawafui dafu kwa taifa ambalo halina watu hata milioni 40 .......hapo tu Taiwan 🇹🇼 ni kichomi kwake ndio aje kuiweza usa .........hapo japan tu anamwagika mavi ........ndio aje usa..........hata hiyo aircraft carry yake ya kwanza aliipata Ukraine 🇺🇦 kwa msaada wa tajili mmoja wa kichina kununua meli kwa kina Zelensky akisema anataka kuifanya kuwa ya bishara yaani cruise ship..............hao wachina janja janja nyingi tu kwa waafrika matope kichwani hila sio wazunguKama copying and pasting rahisi mbona afrika wameshindwa
Halafu china ni nchi kongwe na yenye historia pana kuliko hio marekani na baadhi ya matifa mengi pale europe nk
Unauliza swali alaf unajijib mwenyewe ? Sio kila mtu atakuambia anaenda us ,angalia wafanya biashara wengi wanaenda China au marekani ?Waambie waendelee kujenga huo ukuta ...........huku wamagharibi wanaunda range na ndio gari yako pendwa ............lakini ukiambiwa chagua pa kwenda kuishi utasikia Canada au usa 🇺🇸 kwanini usiende china
Sahihi.China sio bwana mdogo.
Marekani anaufahamu ukubwa wa China kitambo tu hata baada ya uhusiano wa China na Usoviet kuyumba miaka ya 70 marekani alifurahi sana akajisogeza karibu zaidi na China naye China akajenga uhusiano wa karibu na marekani kumbe kila mmoja alikuwa na target zake matokeo nafikiri sasa tunaanza kuyaona nani alimsoma mwenzake vyema.
Waambie waendelee kujenga huo ukuta ...........huku wamagharibi wanaunda range na ndio gari yako pendwa ............lakini ukiambiwa chagua pa kwenda kuishi utasikia Canada au usa 🇺🇸 kwanini usiende china
China haijaanza 1948 wakati wa Mao, ina historia ya miaka 5,000 kabla hata huyo muingereza hajaingia kwenye historia, kama unasoma historia utagundua Kilwa yenyewe ilikuwepo hata kabla ya uingereza kama watu au taifa, sembuse ChinaTaarifa mwenyekiti.......hiyo Hong Kong imejengwa kwanza na wazungu........harafu huwezi kufananisha ulaya na china........maana miji mingi ya ulaya au amerika ni ya kihistoria majumba mengi ya thamani ni ya miaka mingi tofauti na hii inchi ya Mao ambao hawana kipya zaidi ya ku copy and paste.......harafu ujiingize kwenye league ya ubunifu hapana kwa kweli...........
Marekani utapaweza? Wewe nenda kwenye copy china........Unauliza swali alaf unajijib mwenyewe ? Sio kila mtu atakuambia anaenda us ,angalia wafanya biashara wengi wanaenda China au marekani ?
Usifananishe Toronto na huko Beijing..........hizo ni kama kichogo na sura haziwezi kufananaKwa nini watu hawataki kuishi china
1. Language and cultural barrier
Ukijua Kichina na kama una jicho la biashara. China ni best place ya kupiga mishemishe.
Ila kama unapenda kuwa wa kutumwatumwa kuwafanyia kazi wengine unaweza kuishi huko marekani na Canada
Wewe ni mdanganyika so endelea kudanganyikaChina haijaanza 1948 wakati wa Mao, ina historia ya miaka 5,000 kabla hata huyo muingereza hajaingia kwenye historia, kama unasoma historia utagundua Kilwa yenyewe ilikuwepo hata kabla ya uingereza kama watu au taifa, sembuse China
Issue ya China ku copy na ku paste ni propaganda na magharibi ku discredit Chinese innovations
Fafanua hapa una copy na paste vipi G5? international space station? Au tiba ya kisukari?
Una copy na paste vipi Nuclear bomb, Operating system au Microchip?
Unajua ni kwa kiasi gani sayansi ya hivyo vitu haipo public? Hata kama ingekua public bado hai qualify kuwa copy pasting, unajua level gani ya akili inahitaji hata kufata step by step instructions ya jinsi gani ya ku reproduce hizo tech hapo juu?
Pia hio propaganda hai include technological convergence, hata ukijifungia na kutaka kuja na original idea yako ya tairi lazima umbo liwe duara tu....
Unataka original ideas, vipi kuhusu dira na unga wa bunduki? Mzungu alivyopata tu hivyo vitu akasambaza mikosi global south nzima, hizo zote ni innovation za mchina
Vipi kuhusu karatasi?
Huyo mmarekani kashapitwa na China kiuchumi tangu 2017 huko
Wewe ni mdanganyika so endelea kudanganyikaChina haijaanza 1948 wakati wa Mao, ina historia ya miaka 5,000 kabla hata huyo muingereza hajaingia kwenye historia, kama unasoma historia utagundua Kilwa yenyewe ilikuwepo hata kabla ya uingereza kama watu au taifa, sembuse China
Issue ya China ku copy na ku paste ni propaganda na magharibi ku discredit Chinese innovations
Fafanua hapa una copy na paste vipi G5? international space station? Au tiba ya kisukari?
Una copy na paste vipi Nuclear bomb, Operating system au Microchip?
Unajua ni kwa kiasi gani sayansi ya hivyo vitu haipo public? Hata kama ingekua public bado hai qualify kuwa copy pasting, unajua level gani ya akili inahitaji hata kufata step by step instructions ya jinsi gani ya ku reproduce hizo tech hapo juu?
Pia hio propaganda hai include technological convergence, hata ukijifungia na kutaka kuja na original idea yako ya tairi lazima umbo liwe duara tu....
Unataka original ideas, vipi kuhusu dira na unga wa bunduki? Mzungu alivyopata tu hivyo vitu akasambaza mikosi global south nzima, hizo zote ni innovation za mchina
Vipi kuhusu karatasi?
Huyo mmarekani kashapitwa na China kiuchumi tangu 2017 huko
Hujajibu hoja.Wewe ni mdanganyika so endelea kudanganyika
Mwambie na kalamu ya wino ni uvumbuzi wa chinaHujajibu hoja.