chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,548
- 2,699
Kwani ulikuwa haujui mkuu tafuta pesa mademu watakuja wenyewe hakuna demu anaerizika kudate na njaa njaaMambo vip wakuu,,
Juzi nlikua natoka arusha kuja dar,pembeni nilikua nimekaa na mshkaji flan hvi ana asili ya kiarabu muda wote alikua anaongea na simu na kumtukana demu wake Mana alikua anahasi anasalitiwa alinichosha kwa kelele zake.
Back to ze point, pembeni kwenye seat yetu alikua amekaa dada flan hv mzuri yupo na kanjemba seat moja Dada alionekana yupo serious sana jamaa akawa anamsemesha demu ,bint akawa anakula ganzi muda ukaenda jamaa aka anza kumnunulia azamu juice demu aka anza kukenua meno nkasema tayar mbuz kafia kwa muuza bucha ,tulishuka kula kijamaa kikajitutumua kumnunulia chakula demu akawa anafurahi tu ikafika muda ya sa moja ucku kwenye bado tupo kwenye gar nkaona kanjemba kanamshika shika yule bint ,kale kabint kamelegea nikanena kwa kilugha chetu ila kimoyo '' lero ndero'' cha ajbu tulipofika ubungo nikona jamaa kachukua tex na demu wakaenda wanakokujua .
Nimeani dunia sifa pochi nene sio sura Mana kanjemba kalikua na sura ngumu kudadekii
Kweli mkuu,sifa mtonyo hakuna mkate mgumu mbele ya chaipochi pochi pochi zinateka wakina safi hatauwe sura mbaya kitu noti noti
Ha ha ha kweli ngoja tuzichange change mkuuKwani ulikuwa haujui mkuu tafuta pesa mademu watakuja wenyewe hakuna demu anaerizika kudate na njaa njaa
Ha ha ha aya buanaanikizipata nitawachapia sana bibi zenu
Yaan shida tupu bibie aliuza utu wake kwa vitu vidogo sanaNjaa adui mbaya sana...
Ha ha ha pamoja sana mkuuHahaa, Lero ndero!
Nmekuelewa mkuu/
Sasa ukute huyo manzi ana bwana wake au ameolewa lakin ameng'olewa kiurahisi sanaWanasemaga mapenzi ulaya bongo ni biashara! Kwa hilo sishangai, ni karibia asilimia 90 ya wanawake ukiwalisha vizuri kisha ukaomba penzi wakati wameshiba huwa hawakatai!
Si ndio maana tunasemaga si wote ni malaya ila wengi ni malaya!Sasa ukute huyo manzi ana bwana wake au ameolewa lakin ameng'olewa kiurahisi sana
Hahaha mbuzi akafia kwa muuza supu kiulainiii,kama nawaona vile wakiingia kwenye tax na kutokomea kusiko julikana.Mambo vip wakuu,,
Juzi nlikua natoka arusha kuja dar,pembeni nilikua nimekaa na mshkaji flan hvi ana asili ya kiarabu muda wote alikua anaongea na simu na kumtukana demu wake Mana alikua anahasi anasalitiwa alinichosha kwa kelele zake.
Back to ze point, pembeni kwenye seat yetu alikua amekaa dada flan hv mzuri yupo na kanjemba seat moja Dada alionekana yupo serious sana jamaa akawa anamsemesha demu ,bint akawa anakula ganzi muda ukaenda jamaa aka anza kumnunulia azamu juice demu aka anza kukenua meno nkasema tayar mbuz kafia kwa muuza bucha ,tulishuka kula kijamaa kikajitutumua kumnunulia chakula demu akawa anafurahi tu ikafika muda ya sa moja ucku kwenye bado tupo kwenye gar nkaona kanjemba kanamshika shika yule bint ,kale kabint kamelegea nikanena kwa kilugha chetu ila kimoyo '' lero ndero'' cha ajbu tulipofika ubungo nikona jamaa kachukua tex na demu wakaenda wanakokujua .
Nimeani dunia sifa pochi nene sio sura Mana kanjemba kalikua na sura ngumu kudadekii
Ha ha ha balaa jamaa alienda kufwaiidiii kiurahini makupuku tunadanja na maugwadu yetu tuHahaha mbuzi akafia kwa muuza supu kiulainiii,kama nawaona vile wakiingia kwenye tax na kutokomea kusiko julikana.
Papuchi cku iz zimeshuka thaman sanaSi ndio maana tunasemaga si wote ni malaya ila wengi ni malaya!