Kuwa na cash ya kutosha sio jambo dogo. Biashara tunazozifanya hazijawahi tosheka na hela... kila siku zinadai kuwekezwa zaidi. Moo alisema alikuta baba yake ana net worth ya 26b akaona bado ni ndogo ikabidi akakope SA mabilioni mengine ili kukuza biashara.