Sasa haponchagua watu wa3 tu wa maana wasaidie halafu wengne wapige ban ya miez 2Nimekaa muda bila hata dusko nimepambana wapi ila nimepiga deal langu moja nimevuta kama 10m sasa bila hata kumwambia mtu naona washkaji wananipiga mizinga, ma demu wa zamani wananitumia msg za kuni miss, ndugu nao wanapigia kila wakati kunisalimia hapa ndio naamini pesa zinanukia aiseee
10m 2month ya nn yy asubiri wiki mbili mpka tatuSasa haponchagua watu wa3 tu wa maana wasaidie halafu wengne wapige ban ya miez 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makiniNimekaa muda bila hata dusko nimepambana wapi ila nimepiga deal langu moja nimevuta kama 10m sasa bila hata kumwambia mtu naona washkaji wananipiga mizinga, ma demu wa zamani wananitumia msg za kuni miss, ndugu nao wanapigia kila wakati kunisalimia hapa ndio naamini pesa zinanukia aiseee
Mil 10 nayo unaiona ni pesa kubwa?
Pesa ambayo ata haitoshi kununua IST tayari ndugu na mademu wameshaanza kummis tuwage siriaz vitu vingine jamaniNi yeye mkuu,kwako yaweza kuwa ya vocha au zutu ila kwake ni mkwanja mrefu